WanaJF,
Tanzania, kama nchi nyingine zote duniani zinapitia changamoto ya Coronavirus.
Hapa kwetu, kwa bahati ya pekee kabisa, tumepata nafasi ya takribani miezi miwili mitatu kujiandaa. Unategemea Serikali yenye wasomi kuwa na mpango wa kudhibiti tatizo hili na kulinda maisha ya raia wake na...