dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Afrika Kusini wameonesha dharau kwa Rais Samia

    Wakuu habari za humu? Ni matumaini yangu wote hamjambo. Leo nlikuwa napitia taarifa mbalimbali kwenye kiswaswadu changu nikakutana na taarifa ya mama kwenda kwa Madiba hii leo. Kwakweli mapokezi yale sijayapenda,yaani haiwezeknai Rais wa nchi anapkelewa na balozi wa nchi yetu hukohuko tena bila...
  2. Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
  3. Rais Samia: Tuache migongano, kusengenyana, uvivu na uzembe ili tufanye kazi za watu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha, leo tarehe 04 Machi, 2023 RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA Yapo...
  4. Mtangazaji wa EFM Radio Maulid Kitenge acha Dharau na Sanifu zako kwa wana EFM Jogging Club wako

    "Wengine wameondoka na basi jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili sisi wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia pamoja kisha nitakwea tena Pipa na Kurejea zangu Dar es Salaam" alisema Mtangazaji Maulid Kitenge leo...
  5. Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu. Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu...
  6. TUCTA pamoja na nyie kuwa chawa wa CCM, kuwanyamazisha wafanyakazi ni dharau

    Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi. Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
  7. Kudharau PhD za heshima ni ulimbukeni, ujivuni, dharau, kebehi na manyanyaso kwa waliopewa

    PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao. Walio na PhD baada ya kuingia darasani na kutoa andiko au kutoa andiko huenda mbele ya chuo husika na kusema...
  8. Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

    Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki. Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
  9. R

    Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  10. M

    Kiburi, Dharau na Ujeuri wa Yanga SC ipo Siku utawagharimu, watajuta na kukosa wa kuwatetea

    Endeleeni kudhani mnavyowafanyia Wazawa/ Waswahili wenzenu na wananyamaza basi itakuwa hivyo hivyo pia kwa Wazungu hata kama Kampuni zao zilizoko nchini Tanzania zinaongozwa/ zinasimamiwa na Waswahili na wana Yanga SC Wenzenu.
  11. Tabora: Madiwani wamkataa Meneja RUWASA kwa madai ya kuwa na dharau

    Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua limeazimia kutofanya kazi na Mapambano Mashini ambaye ni kaimu meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini na Vijijini (Ruwasa) wilayani Kaliua kwa madai ya kulidharau baraza hilo. Uamuzi huo umesomwa kwa niaba yao na...
  12. Dharau kubwa, waziri wa CCM anawaza simu za mkopo wakata taifa lina shida ya maji na umeme kila kona

    CcM imejaa tabu na matatizo 👇
  13. Je, ushawahi fanyiwa jeuri au dharau na mpenzi anaedhani umedata na umahiri wake ndani ya 6x6?

    Salale Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa. Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
  14. C

    Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  15. N

    Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Hivi chekechea mtoto anahitaji...
  16. M

    Kabidhi Imani yako kwa Marafiki ila siyo Ndugu wenye Chuki, Dharau na Unafiki

    Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akakuombea mabaya ila Ndugu kuombeana mabaya hata Kufa Kwako ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akawa Mnafiki dhidi yako ila kwa Ndugu Kukusanifu huku akikuchekea ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akaona kuna Fursa...
  17. R

    Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  18. Rule number 6; "Stop Contempt" 'Acha Dharau'

    RULE NO6; "Stop Contempt" ACHA DHARAU. Anaandika, Robert Heriel Nakuomba, jitahidi usome yote. Ni ujumbe utakaokufaa mpaka wajukuu zako; Oooh! Watu wachoyo, ooh! Wanataka wafanikiwe wenyewe, oooh! Hawatupi mbinu na Siri za kutoboa. Ooh! Hatuna Pesa za kulipia vitabu au kwenda shuleni, wengine...
  19. Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Wakuu naomba ushauri. Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja. Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika...
  20. UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

    Na Jumakilumbi, 15.10.2022 Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…