diamond platnumz

  1. Ni Diamond Platnumz ukipenda mwite Warren Buffett wa Bongo

    MWAKA 2007 (miaka 11 iliyopita), nilisoma jarida la Forbes. Mahojiano mazuri na tajiri mwenye mawe mengi, Warren Buffett. Kipindi hicho, Buffett alikuwa tajiri namba mbili duniani, nyuma ya Bill Gates. Niliandika makala gazetini mwaka huo kwa kutafsiri mahojiano hayo. Wakati huo, Buffett...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…