Msanii wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Diamond platnumz amepata dili kutoka shirika kubwa la ndege la Turkish airlines kuwa Kama main sponsor wa show yake ya European tour atayoifanya hivi karibuni.Kabla ya hapo diamond aliwahi kupata dili la Emirates airlines Mwaka 2018 pamoja na kutangaza...
Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie.
Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii...
Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama msanii huria, fedha yote atakayoipata katika kazi zake za sanaa itakuwa ni yake.
Alivyokuwa chini ya...
Baracka the Prince ametamka hayo wakat akihojiwa na kituo fulan, amesema Kwa sasa ni kumkosea heshima Diamond kumfananisha na Ally Kiba , na hvyo Ally Kiba anatakiwa afananishwe na Best naso , video sekunde 38 waweza Ichek
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa mijadala ya vijana wakijaribu kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba, nionavyo mimi kwa mahali alipofika Diamond, hakuna msanii wa kulinganisha naye kwa hapa nchini.
Ali Kiba ni msanii mzuri kwamaana ya talent lakini level zake ni akina Harmonize tena...
Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye mikono ya hawa manguli wawili wanaotifuana na kupelekana mchaka mchaka kunako game ya bongofleva...
Kwanza kabisa na mpongeza kwa kufikisha miaka 10 ya mziki wake SI rahisi kuwa on top kwa miaka hiyo yote lakini huyu mwamba kaweza.Haya ni baadhi ya mambo aliyofanya kwenye kipindi chake chote Cha mziki
1.kutengeneza wasanii wakubwa from scratch kupitia label yake ya WCB Kama vile Rayvanny...
Na. M. M. Mwanakijiji
Naomba kupendekeza kuwa huyu kijana apewe rasmi hati ya kusafiria ya Kibalozi (Diplomatic Passport). Nimekuwa nikifuatilia jinsi anavyoshirikiana na wasanii wengine ndani na nje ya nchi lakini pia jinsi gani anakubalika katika sehemu mbalimbali za Afrika. Nimefuatilia kwa...
Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo
''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME)
Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz ''
Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini.
Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy?
Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
Mbosso – Maajab
Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna mwendeleo wa Shairi ila kurusha kurusha maneno ya misamiati.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba
Nyimbo bora 11 za bongo flava mwaka wa 2018 .Zilizofanya vizuri na ambazo ni bora kwa maoni yangu binafsi.
1.nibebe aslay
2.Harmonize ft Diamond Platnumz – Kwa Ngwaru
3.nedy music one and only
4.mvumo wa radi alikiba
5.ninogeshe nandy
6.Harmonize – Atarudi
7.mbwa koko Mr blue
8.Young Killer...
Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic.
“Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.