Rais Magufuli aliamua kumvulia na kumvisha kofia yake Diamond Platnumz simbaaa baada ya performance yake katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza.
Ila kijana wetu anaadabuu, mara baada ya kuitwa jukwaa kuu alienda anakimbia 🤣🤣🤣
Diamond platnumz simbaaa baba lao rais halali wa muziki Tanzania.
Namshauri Mo Dewji ashirikiane na Diamond Platnumz kuunda timu ya Wasafi Football Club.
WASAFI ni blrnd yenye nguvu sana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Wasafi media imepata mashabiki lukuki katika kipindi kifupi tangu kuanzishwa kwake ikizipita media kongwe katika mitandao ya...
Msanii wetu SIMBA namkubali sana sasa tatizo lake anapenda kukurupuka sana pale mafuraha ya kutoka pasipojulikana yanapo mvaa na kutangaza ma- ahadi tele kila mahali online, na hata live Wasafi TV/Radio kuwa atatoa mara hiki mara kile kwa jamii. Na mara chache sana huvitimiza anavyosema ni kama...
Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha ilo nadhani ilikuwa pigo kwa mashabiki zake ambao walienda kutaka kumuona.
Je, aliogopa wasanii...
Kupitia wewe nimejifunza na naendelea kujifunza vingi. Asante kwa kuendelea kusupport Vijana. Asante kwa njia ya Sanaa uliyoichonga, Sasa inakomboa Vijana wengi mtaani.. @Josephkusaga
Wakuu Habari za saa hizi!
Wakuu mimi nina Rafiki yangu mmoja hivi sio kivilee sana hapana ila ni kukutana kitaa tunapeana tano basi life linaendelea.
Kitu kimoja kinachonishinda kwa huyu jamaa yangu ni kwamba anamkubali kinyama sana Diamond sio nyimbo, mavazi, mpaka kuwa na watoto, just...
Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,
Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi?
Wakuu mkimwona siku mnitag...
Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali ya juu sana, pale anapoanza kuimba "Eeh mama kasema mwali mwana, umepata ntuliee simba, ntuliee...
Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki wa Tanzania @Diamondplatnumz
Makala hiyo imeandikwa "Wanamuziki wa Marekani wanatafuta njia za...
Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na wasanii wengine. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanaigana sana kuimba na mwisho kabisa huwa unakuta...
Kuhusu kulipia show
===========
Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu
====================
Kuhusu performance ya kuwa nzuri
=====================
==================
Kuhusu performance ya kuwa sio nzuri
================
Mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi, msanii Diamond Platnumz ametoa msaada wa kodi ya pango kwa watu 57 ambao ni wajane, walemavu pamoja na wasiojiweza.
Msaada huo ni awamu ya kwanza katika ile dhamira yake ya kusaidia kodi ya pango kwa kaya 500 nchini zilizoathirika kiuchumi na janga la mlipuko wa...
Katika kibao chake kiitwacho Baba Lao, nyota wa muziki anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania Diamond Platnumz ameimba maneno haya katika moja ya verses kwenye wimbo huo
"Eeeh! Tumewachapa (Kidude) Hakichomoki (Kidude) Kimewanasa (Kidude) Wanatapatapa (Kidude)"
Hicho kidude anacho kiimba...
Kama wewe ni msanii na una mpango wa kutoa wimbo ukamshirikisha huyu kijana wa Tandale inabidi ujiandae vya kutosha. Zaidi ya hapo mwachie tu wimbo uwe wake tu kama alivofanya Innos' B na Yope Remix
Hii Black Madonna Stonebwoy ndo anaonekama kama kashirikishwa wakati ni wimbo wake
Nimeshindwa...
Jina halisi: Nasibu Abdul.
Umri: 30 years.
Mtanzania maarufu zaidi huko duniani.
Kijana mpambanaji zaidi katika historia ya tanzania.
Mtanzania anaefuatiliwa zaid dunian kupitia platform na social network.
Anamiliki label kubwa zaid afrika.
Anamiliki label maarufu zaid afrika.
Youtube king...
Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwezi mmoja.
Mali hiyo yenye thamani ya zaidi...
Wengi huwa nawaambia ukiona mtu na demu wake au mke wanagombana usiingilie kwa kumchamba au kumsema vibaye mwingine au kumuelekeza chuki dhidi ya mmoja no uta ahibika, lazima tuishi kwa kuwaelewa na kuwaombea ipo siku watarudiana.
Niliwahi kwenda kuamua ugomvi wa binam na mumewe nikamlazimisha...
Mimi ni fan wa Mondi. Kama mtu mwenye uwezo wa kuchambua mambo, naweza kuamua kumu "un-fan" muda wowote. Anguko la Mondi linaweza kutokana na mambo ya mahusiano kwa sababu hizi (3):
1. "Ego" - kwa tabia anataka lazima awe mwenye "control" kwa mwenza wake. Uhalisia, Ili kufanikiwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.