diamond platnumz

  1. Mshana Jr

    Diamond ni Balozi mzuri, asemehewe

    Natambua wazi alijiharibia pakubwa alipojiunga na KAYAFA kupitia kazi zake. Na niliwahi kuandika uzi kumhusu yeye na Konde boy kwamba kitendo hicho kina athari kisanii huko mbeleni. Kuna ambao walinibeza sana lakini always muda ni hakimu wa haki na kamwe maandishi hayafutiki! Hapa...
  2. Pain killer

    Diamond Platnumz kwanini ulikwenda wakati unajua kabisa hupati Tuzo, Wizikid mbona katulia zake gheto?

    Habari wakuu Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa. Mbona...
  3. N

    Kwani aliyemshauri Diamond Platnumz kuvaa vile nani?

    Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana; 1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa. 2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa...
  4. mr mkiki

    Kinachoniuma mimi ni baridi ya kule ndani ukumbini na Nguo za Kimasai

    Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema. "The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one" Diamond hayupo Frontline in more...
  5. Twinawe

    Diamond Platnumz amewakosea nini wanaomshambulia?

    Naomba kujua nini kibaya Diamond Platnumz anakosea tofauti na wasanii wengine? Nini afanye ili iwe sawa naonaga watu wanamshambulia ila sijawahi sikia mtu yeyote akisema makosa anayofanya tofauti na watu wengine?
  6. my name is my name

    Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

    Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri...
  7. Robidinyo

    Kamata ya Diamond Platnumz ni ngoma mbovu mno, jamaa kaishiwa ubunifu

    Mlio karibu na Sadala mshaurini kama upeo wake umefika mwisho kwenye kutunga mashairi atafute watu wenye idea mpya wamwandikie yeye abaki kuimba tu. Msisahau jana King kaachia Good music akiwa kamshirikisha Rude Boy ngoma inaitwa Salute
  8. sinza pazuri

    Wasanii msishindane na Diamond Platnumz mtafilisika. Yupo level za kina Bakhresa

    Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake wenye roho mbaya wamepata muhaho. Nawashauri tu wasanii wa kibongo msishindane na Simba huyo...
  9. Youngblood

    Kupitia mafanikio ya Diamond Platnumz nimegundua Watanzania wengi wana roho mbaya

    Habari zenu, Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi. Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya...
  10. K

    Kampeni ya kum-disqualify Diamond Platnumz BET Awards, tunahitaji mrejesho

    Habari wakuu, Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za BET kwa mwaka huu 2021. Wanaharakati hao waliongoza huko Twitter chini ya Kigogo na Maria Sarungi...
  11. T

    Tusimwadhibu Diamond Platnumz

    Na Thadei Ole Mushi. Diamond 💎 Platnumz ni Moja ya wasanii wanaowania Tuzo toka BET Awards kwenye kipengele Cha International ACT. Kwenye category yake yupo na wasanii wengine wakubwa tu toka maeneo mbalimbali Duniani. Wasanii wanaoshindania Tuzo hiyo na Diamond ni Aya Nakamura toka France...
  12. Akidi

    BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi. BET wenyewe hawana hata muda huo
  13. Lyetu

    Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  14. Slowly

    Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

    Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ... Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa...
  15. Determinantor

    BASATA, barua za kiofisi haziandikwi hivi

    Sina shida kuhusu kumpigia campaign Diamond, kila mtu atachagua mtu wake wa kumpigia! Shida yangu iko kwenye uandishi wa barua za kiserikali kuwekwa picha ya MTU na Katibu akaisaini kabisa. Huu uandishi haukubaliki na naomba isijirudie tena.
  16. sinza pazuri

    Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

    Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono! Lissu...
  17. master of cities

    Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

    Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki.... Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..! Kinachoshangaza ni kuwepo Kwa makundi yanayompinga kumpigia Kura kutokea hapa hapa nchini kwake Tanzania mahali ambapo...
  18. C

    Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

    Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani, Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI. Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
  19. M

    Hongera Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET

    Niaje niaje. Kongole Kwa Mr Diamond Platnumz kwakuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS. Sio Jambo dogo maana Kwa Afrika wako wasanii wengi sana ambao wanafanya muziki. Karibu tumpongeze Mtanzania mwenzetu kwa safari hii ya kugombea hiyo tuzo maana kuipata ni issue nyingine lakini...
  20. Geza Ulole

    Tanasha Donna has officially got a substitute...

Back
Top Bottom