Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati.
Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Narudia Tena. Diamond Platnumz yupo Marekeni anatafuta pesa Ali Kiba yupo nyumbani anabishana na wakina mama [emoji23][emoji23] halafu badae Diamond akisema anahela kumshinda Alikiba mna mind[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu Ndio Utajiri wa Msanii Diamond Platnumz
by Frumence M Kyauke.
Nasibu Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii Afrika mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji vilevile ni msanii tajiri zaidi.
Umaarufu wake umeanza kuonekana mwaka 2010 baada ya kuachia albamu kwa jina Kamwambie...
Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni mnyama bin laden simba.
Wadau wa kufukunyua hebu mje hapa, tupeni undani wa hii tetesi.
Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!!
Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii.
Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji.
Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs.
Mwangalie Messi, mwangalie Kiba...
Msanii Diamond Platnumz aliweka wazi kuwa alianza kushabikia mpira na kuishabikia timu ya Simba mara baada ya kupata hamasa kutoka kwa swahiba wake Haji Manara.
Kama hiyo haitoshi ,Diamond alilaani sana kipindi ambacho mabosi wa Simba walipoanza kumtolea maneno machafu Haji Manara na...
Huyu giant anatisha sana sizan kama kuna msanii atatokea kumzid huyu mtoto wa Tandale. Imagine anakua mostly searched artist kwenye nchi za watu
Najua Kiba hapendi show off[emoji23][emoji23][emoji23] ila kwa huyu dg mond kiba amepigwa no count coz kwa level aliyofika mond ni level ya U...
Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify
1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M
2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M
3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M
4. Mbosso – Definition Of Love (2021)...
Wakati Diamond Platnumz alikuwa na miaka 17, alifanya kazi ya kuuza nguo za mitumba na kuuza mafuta kujaribu kuweka akiba ya kumwezesha kurekodi studio, lakini haitoshi. Hatimaye mwimbaji huyo mwenye jina la kuzaliwa la Naseeb Abdul Juma Issack, aliuza pete ya dhahabu ya mama yake. "Nilimwambia...
Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia.
Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music...
Diamond Platinumz had just taken delivery of a brand new Rolls Royce when I spoke to him – it’s a blue Cullinan, latest model.
It’s the first of its kind in Tanzania and when Diamond took it on its maiden voyage you can imagine the reaction.
“To me it’s not just my car, it’s our car. Whoever...
Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli?
Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto...
Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi...
Likija suala la utajiri utachukiwa tu uwe mzungu ama mswahili kutakuwa na wivu na chuki. Tumeshuhudia Diamond alivyonunua Rolls-Royce.
Malaki ya watu wamesaini petion dhidi ya Jeff Beezos tajiri namba moja duniani wakinuombea kesho tarehe 20 akipaa anga za juu asirudi duniani tena abaki na...
Naseeb Abdul Juma Issack (maarufu kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni Chibu, Simba au Dangote; alizaliwa dar es salaam, 2 october 1989 ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo flava kutoka Tanzania. Diamond ni msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko wasanii wengine Tanzania na Afrika...
Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini...
Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia.
Kwa namna yeyote ikitokea negative impact sio kwa Pande hizo mbili, bali ni direct kwa Diamond
At this point kuna mawili
1) Kama...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hili ndilo gari jipya la diamondplatnumz. Ni Rolls Royce 2021. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika inatajwa kuwa gari hili limeingia Tanzania siku za hivi karibuni
Inasemekana gari hili Rolls Royce 2021 imemgharimu #Diamond zaidi ya Shilingi Bilioni Moja za...
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha
Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha, Tanzania, aliiwakilisha Afrika katika toleo la mwaka 2009 la BET Hip Hop Awards cypher, zilizorushwa Oktoba 27 kupitia chaneli ya BET huko Marekani. Huyu ndiye Mtanzania wa kwanza kushiriki katika tuzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.