diamond platnumz

  1. maroon7

    Mameneja watatu ila personality ya Diamond Platnumz inashuka siku hadi siku

    Huyu jamaa ana mameneja watatu ila naona kwenye suala la personality wameshindwa kumshauri kabisa. Kwa muonekano wa mondi wa sasa ni either kajiingiza kwenye drugs au mambo ya kigasho..muda utasema tu. Diamond wa leo karudi kwenye usela ule wa black Americans wa miaka ya 90 kuvaa manguo makubwa...
  2. Hance Mtanashati

    Kumbukizi: Harmonize kipindi bado ana heshima na adabu kwa baba yake kimuziki (Diamond Platnumz).

    Video inajieleza.
  3. Kingsmann

    Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

    Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB. Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi...
  4. Kingsmann

    Ni rasmi sasa Diamond Platnumz ni "Copycat" wa Asake.

    Hapa kashirikishwa na G-Nako, wimbo unaitwa Komando, ila melody za Diamond zinafanana 90% na wimbo wa Amapiano aloimba Asake. Sikiliza kisha ufanye conclusion mwenyewe kama Diamond anasingiziwa ama laah.. https://youtu.be/l_-v1fNdSHs?si=xcfiDZLAofP63utF...
  5. Hance Mtanashati

    Fadhili Majiha anahitaji mapambano matano 🖐️ tu aweze kumtukana mpaka Diamond Platnumz

    Baada ya bondia Fadhili Majiha kumtwanga The wonder boy Profesa Bongani Mahlangu na kufanikiwa kuchukuwa mkanda wenye heshima zaidi duniani ambao sio mwingine bali mkanda wa WBC (WBC AFRICA BANTAMWEIGHT ) na kumfanya kuwa bondia namba 7 duniani na namba 1 hapa Tanzania katika uzito wake wa...
  6. sinza pazuri

    Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

    Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora kutoka Afrika kwa mara ya 3 katika mashindano ya MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 ) diamond amewashinda Asake, BurnaBoy   (Nigeria) Libianca (Cameroon) na TylerICU (Dj wa Afrika Kusini). Hongera sana sisi wanaJF tunathamini...
  7. Nifah

    Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi! Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana...
  8. sinza pazuri

    Diamond Platnumz ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF (AFCON). Kama atatokea mwingine anarudia

    Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017. Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
  9. covid 19

    Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  10. K

    Ndege ya Diamond Platnumz aliyosema kanunua iko wapi?

    Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni kuongeza thamani yake. Baada ya kauli hiyo, Diamond akasifiwa sana na kuelezwa kwamba angekuwa msanii...
  11. lord atkin

    Kesi ya diamond karanga, Wasafi na Kusaga ilivyofika mwisho mahakamani

    DIAMOND PLATNUMZ NA DIAMOND KARANGA ILIVYOGEUKA TALAKA YA CHOZI Na Luqman MALOTO INGEWEZEKANA, yaliyowezekana kwenye movie ya Superman mwaka 1978, yangewezeshwa katika ulimwengu halisi. Superman alipaa nje ya dunia, akailazimisha sayari kurudi kinyumenyume. Kwa sayari kurudi reverse, muda nao...
  12. Katkit

    Diamond Platnumz na International songs

    Al Jumaa Mubarak wakuu... Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na la nje (local & International) na katika kuhakikisha anafanya alichokiahidi, akatoa ngoma mbili kali...
  13. BARD AI

    MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  14. NALIA NGWENA

    Diamond Platnumz amzawadia Diara milioni 10

    Hongela sana CEO diamond kwa kutimiza ahadi yako ya kutoa motisha kwa kipa wa Yanga Diara. Sijui ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania badilisheni wenyewe. --- Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga...
  15. ChizzoDrama

    Dalili za Diamond Platnumz kushuka kimuziki hizi hapa

    🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia (VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani) Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not 👇 VENUE (mazingira...
  16. BARD AI

    Diamond Platnumz hashikiki kwa kutazamwa zaidi YouTube Afrika

    Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams' zaidi ya Bilioni 2.14. Pia, 'Simba' anashikilia rekodi ya kuwa msanii mwenye wafuasi wengi zaidi...
  17. sinza pazuri

    Diamond Platnumz sasa wanamuita Sheikh Mansoor

    Diamond Platnumz ambae ni msanii namba moja Africa. Hatimaye amepewa jina jipya kwa sasa anaitwa aka Sheikh Mansoor. Wakimfananisha na tajiri mmiliki wa Manchester City Ameuanza mwaka sasa yajayo yanafurahisha. Haya sasa vifaranga tokeni bandani mtembee na upepo wa mwenye nyota zake za...
  18. sinza pazuri

    Kwa mujibu wa Google, Diamond Platnumz ndio msanii anaefatiliwa zaidi Africa 2023

    Diamond Platnumz ndio habari kubwa mpaka sasa Africa. Ndio msanii pekee yeye na Davido wanaozungumzwa na kufatiliwa zaidi hapa Africa. Je Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko Bongofleva? Inawezekana lisiwe swali ili.
  19. Hemedy Jr Junior

    Baada ya Diamond platnumz kuonekana moja ya club ambayo Chris Brown alikuwa akifanya Show

    Wabongo bhana..... Diamondplatnumz baada ya kuonekana kwenye moja ya club uko london akiwa anashuhudia show ya msanii nguli wa Rnb na pop/ Chris Brown, wabongo wamekuja na lao jambo kuwa tiyari Diamondplatnumz ashafanya wimbo na Chris Brown... kweli Tunaushabik wa kidenzi sana 😁😁😁 nimecheka...
  20. Hemedy Jr Junior

    Yafichuka mazito: Diamond Platnumz na Majizo bifu zao hazina mashiko

    Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka na Hamisa Mobetto before na kupata nae mtoto mmoja. Hamisa Mobetto ambaye ni mjasiriamali na msanii...
Back
Top Bottom