Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana.
Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye filamu ya huu wimbo wa Zuwena na amini anaweza pia kuamsha bongo movie na pia anaweza kupata pesa...
- Longido moja hiyo....
- Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife...
- Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido...
- Kuna wadau wanaponda eti haikutakiwa Tattoo zionekane...
- Bodaboda wa Longido, wamepauka vumbi hadi kwenye kope...
- Walevi...
- Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka
- Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo
- Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa
- Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani
- Sio tandu tu,hadi vyura..
- Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe
- seti kali kuliko zote...
Bosi wa WCB Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz amejipatia mnyama aina ya nyoka wa kuweka nyumbani.
Katika tangazo lake kwenye Instagram, mwanamuziki huyo alibainisha kuwa siku zote kumiliki nyoka kipenzi imekuwa ndoto yake.
Staa huyo wa Bongo mwenye umri wa miaka 32 alimtambulisha...
Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans.
Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC.
Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania.
Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
Mfanyabiashara na Meneja wa Masuala ya Sanaa nchini, Sallam SK Mendez, amefunguka kuhusu taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa ameiacha Lebo ya Wasafi Record ya Diamond Platnumz (WCB) kujiunga lebo ya Harmonize KondeGang Records Worldwide.
Kwa maneno yake, "hilo halitatokea kamwe". Kwa takriban...
Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa.
Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua.
Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa...
Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.
Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.
Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu...
Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba.
Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show.
Umati alokusanya ni historia Kendwa haijawai tokea.
Yani fullmoon party...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums.
Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet.
Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani.
Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili.
Asante sana Mwenye enzi...
Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi.
Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari.
Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari.
Helicopter hii...
Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga.
Source:bbc swahili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.