Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba.
Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show.
Umati alokusanya ni historia Kendwa haijawai tokea.
Yani fullmoon party...
Wasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums.
Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet.
Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani.
Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili.
Asante sana Mwenye enzi...
Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi.
Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au!
Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza.
Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia...
Bongo hatari sana, kuna siku Pambalu wa CHADEMA kwa niaba ya BAVICHA aliitisha press kuzungumiza upandaji wa uongo wa mshahara na siku hiyo hiyo s Alhaji Takadini alikuwa na press yake ya kumchamba Karia na TFF, guess what, Bavicha walipata mic moja tu woote walikuwa kwa Alhaji Takadini
Leo...
Barnaba Classic aka Mopao aka Mtukazi ambaye kesho anaachia album yake yenye hadhi ya kimataifa album inayoandaliwa kwa ajili ya international market.
Amesifu namna Diamond Platnumz alimpokea na kumuunga mkono kwenye kusimamia project nzima ya album yake ya Love Sounds Different.
Maneno...
Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla.
Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa...
Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari.
Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari.
Helicopter hii...
Nimeona interviews kadhaa za YouTube za kina Mwijaku na vipindi kadhaa vya Wasafi tv.. Mara Sijui S2kkizzy kafuta nyimbo ya Tetema ya Rayvanny youtube eti hajalipwa haki zake kutengeneza nyimbo. Ukisikiliza kwa makini utaona kabisa Diamond anawatumia hawa watu kumchafua Rayvanny. Mwijaku kila...
Weekend iliyopita ilikuwa siku nzuri kwa Diamond Platnumz wakati mgombea Urais Raila Odinga aliposimama mbele ya Wakenya na kuwaomba kumpigia kura kama Rais ajaye kabla ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika kesho August 9.
Diamond, pamoja na mpenzi wake wa zamani Zari Hassan, walikuwa bize kupanga...
Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo.
Diamond ameingia Kenya leo akitokea Afrika Kusini alikoenda kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake...
Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga.
Source:bbc swahili
Najiuliza hiv inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hivi anadhani mikataba inaweza kuvunjwa kirahisi tu na BASATA. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu.
Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na BASATA...
Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si wakamilifu..
Mungu huwainua wachache kati ya kwa kila taifa, ukoo hata familia.. Huwainua kwa vipawa na vipaji mbalimbali... Na wengine baada ya kujitenga na dunia hutunukiwa karama...
Baada ya sakata linaloendelea mitandaoni kuwa lebo ya WCB inakandamiza wasanii, mkurugenzi wa lebo hiyo, Diamond Platnumz amesema, haoni tatizo kuchukua asilimia 60 ya mapato ya msanii wake.
Amesema anafanya hivyo kwani mziki ni biashara inayohitaji uwekezaji mkubwa na mpaka msanii awe mkubwa...
Najiuliza HIV inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hiv anadhan mikataba inaweza kuvunjwa kirahis tu na basata. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu.
Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na basata alilipa...
Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
Producer namba moja wa muziki East Africa wakuitwa Lizer Classic ametoa za ndaaaaani kabisa namna Clouds na Wasafi walivyofanya biashara ya muziki.
Alitoa comment hiyo akimjibu shabiki kaukau wa mtandaoni.