diamond

  1. Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  2. Battle Diamond vs Will Paul

    Hivi Kenya will paul ana Alburm ngapi ?
  3. G

    Diamond Platnumz na Nandy Wazoa Bilioni 3 huko Mombasa kwenye harusi ya Zakir, Mwana wa Bilionea Imran Kholsa. Rais wa Kenya Miongoni mwa Wageni

    Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 3) kwajili ya Diamond Platnumz na Nandy kutoa burudani kwenye...
  4. Diamond Platnumz kulipwa BIL 2.3 kutumbuiza katika harusi ya kifahari Mombasa Kenya

    Habari wakuu. Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo. Kwa wale wenye source naomba wanijulishe hii ilikuwa ni harusi ya nani kwakuwa hadi Rais wa Kenya William Ruto...
  5. Tuzo za CAF 2024: Kwanini Diamond Platnumz hakushangiliwa hata na mtu mmoja alipotumbuiza?

    Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza. Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini? Yawezekana ni kwakuwa...
  6. Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco

    Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024 Hafla hiyo ya kifahari...
  7. Tanzania tutapata maendeleo lini kama mijadala ni Simba, Yanga na Diamond?

    Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali Story ni Simba na yanga Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali) Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
  8. Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa YouTube Kenya

    Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024. Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu...
  9. Diamond kufunguliwa kesi ya fidia ya mabilioni na Wakenya kwa kushindwa ku-perform

    Wakenya wajanja sana. Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba. Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
  10. M

    Issue ya Diamond huko Kenya nimegundua Kenya baadhi ya watu wana roho nyeusi

    Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart. Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
  11. Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa TSh. Miloni 374 kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika, amchana Willy Paul "ananitengenezea ubaya"

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki. Taarifa hii imekuja wakati akijibu madai kwamba alihusika katika kumzuia msanii wa Kenya, Willy Paul, kupanda...
  12. Walokole siasa kali wanamuona Joel Lwaga hana tofauti na Diamond

    Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200. Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk. Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
  13. Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

    Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake. Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe. Diamond is so genius
  14. Mzozo mkali wazuka Willy Paul akizuiwa kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City

    Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City Inaelezwa pia Diamond Platnumz hakupiga show Soma, Pia: + Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya + Hii...
  15. Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

    Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo. ============================================== Diamond Platinumz yesterday he refused to...
  16. Diamond aondoka bila kuperform Kenya

    Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪, Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa Tamasha hilo. Fungua video kupata mkasa mzima Wasanii wetu ni budi wakajihafhari sana...
  17. Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

    Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
  18. W

    Mario, Diamond Platnumz, na Harmonize waongoza orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi Tanzania 2024

    Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia. Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024: 1. Marioo 2. Diamond Platnumz 3. Harmonize 4. Alikiba 5. Zuchu Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024 1. Hakuna Matata- Marioo 2. Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue...
  19. Hii ndio sababu kwanini kila MARIOO akitoa nyimbo na DIAMOND lazima atoe?

    ..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi yake, hivyo diamond ameshamshtukia MARIOO ni msanii anaye kubalika sana na ni rahisi kurithi kiti...
  20. Tetesi: Diamond yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media

    Za ndaaaani kabisa Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media. Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana anataka uzinduzi wa Mjengo wake mpya ambao utakuwa gumzo jijini uendane sambamba na ofisi za Wasafi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…