Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza?
1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya?
2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema...
Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali...
Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
afrika
afrika kusini
chley
chris brown kucheza komasava
diamond
dstv delicious festival
jason darulo wa kenya
jason derulo
jukwaa
khalil
komasava
kusini
moto
Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa.
Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa.
Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi...
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo cha jamii na badala yake wanataka kuwa matajiri wakifuatilia mafanikio ya msanii maarufu Diamond...
Ndoto ya Diamond kuwa Tajiri namba moja Duniani inazidi kuwa ngumu kila uchwao, Elon Musk anaendelea kuchanja Mbuga na sasaivi anaelekea kwenye Utrilionea.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
Soma Pia: Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi...
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.
Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
Jackson Ngechu Makini, anayejulikana pia kama Prezzo, mwanzilishi katika ulingo wa muziki wa Kenya, amekuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia hiyo kwa miaka mingi.
Katika mahojiano haya, mshiriki wa zamani wa Big Brother Africa anazungumzia safari yake, mchango wake katika ukuaji wa tasnia ya...
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania
Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania
Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania
Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi
Unaweza kujitoa kuwasaidia sana. Watakupamba sana na kukuganda lakini nyuma ya pazia wanakuona...
Wakenya wameanzisha tabia yakusema Diamond nimsanii wetu basi Warwanda, Uganda, Burundi na nchi kibao wanashindana kusema Diamond nimsanii wetu replay zaidi ya elfu 12 ni Diamond is our artist from Kenya🤣mwingine uganda nikaona mwingine wabrazil nikasema duu kweli ubaya ubwela.
sema Wakenya...
Jamaa bana wakimuomba Diamond akapige show siku yao ya jumapili pale kwa mkapa, maana wao wanacheza trh 4 na sisi tunaanza trh 3 kuutumia, tunaujambiaaa halaf wao wanakuja kutumia kudadeki, basi walimuomba mzee wa Komasava akapige show, unajua alichowajibu.
Aliwaambia anawaheshimu sana na...
staa wa muziki wa bongo fleva nchini tanzania Diamond platmumz amefanya show ya kibabe usiku wa kuamkia leo julai29 huko barcelona nchini Hispania katika event ya afrobrunch ikiwa ni maadhimisho ya ya mziki wa afrobeats , akiwaacha mashabiki hoi kwa kutumbuiza nyimbo zake pendwa ,hii ikiwa ni...
Msaniii pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hatimaye Leo kaachia video la Dunia inaitwa Comasava hili goma sisi yanga day 🙌tuta enjoy sana kwa mkapa Cc ephen_
Hapa director folex katisha sana hii video kalii sana
Comasava yanga day 🙌
https://youtu.be/RpZRtX2mQdc?si=Zb8NmX8hb3Up3Hvz
Tanta lala la
Ooh la la la la la
Mmh
Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
Hanitaki hata Tale
Oooh wale shabiki zangu
Walionisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu
Ni mitusi tu kwa instagram...
Kitu Kimoja Ambacho Mashabiki Wa Muziki Mnapaswa Kujua Ni Kwamba Diamond Ni Msanii Mkubwa Afrika Na Anaweza Kufanya Show Nchi Yoyote Ndani Ya Afrika Na Watu Wakajaa, Lakini Inapokuja Kwenye Soko La Ulaya Bado Hana Nguvu Tofauti Na Wenzetu Nigeria.
Wenzetu Walishatangulia Kiuwekezaji Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.