Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
Zuhura sijapenda kabisa.
Kwa nini unaruhusu wakuuedit ili kufanya ngozi yako ionekane ni nyeupe Wakati sio kweli, Ivi kwani na wewe unaamini uzuri wa mwanamke upo kwenye rangi ya ngozi yake? Kinini wamekufanya hao Wazungu mpaka ushindwe kujiamini kwa kiasi kikubwa hivi? Licha ya mafanikio...
Maneno ya Alikiba
"Hutawai niona nikipost pesa, magari makubwa ama vitu expensive namiliki, sio kwa sababu siwezi, ni kwa sababu nayajua haya maisha vyema, kuna watu wanateseka na wanatamani izo pesa na hayo maisha unayoposti.
Haina haja nipee mashabiki wangu pressure na hao ndio wamefanya...
Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona.
Ukiachana na Derulo...
Naam wakuu,nimejiuliza hili swali baada kufuatilia mwenendo wa ufanyaji kazi wa kituo Cha televisheni kinachomilikiwa na msanii diamond,hasa nikilinganisha na kiwango Cha usikivu wa kituo hicho kwa miezi iliyopita
Kwa upande wa redio, yaani wasafi FM huko sijafuatilia, kama msanii mkubwa kama...
Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na anayoendelea kuyapata bwana Nasib.
Wapo wanaosema ni Freemason, ni mganga wa Morogoro, ni Majini...
Jana kwenye uzinduzi wa 7 Media ya Baba Levo niliona kumbe Mwijaku hana shida na Diamond wako poa kabisaa.
Pointi yangu natamani sana Diamond amwambie mwijaku hata kama anamkubalia amtukane ili apate content za kumpa pesa lakn hasizidishe matusi na dhihaka anazomfanyiaga Diamond.
Maana kuna...
Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube.
Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza...
Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi, katika mbio za mita 400 na mita 800, aliweza kukamilisha mizunguko miwili kwa dakika moja na sekunde...
Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi.
Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli?
Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza kama movie fulani hivi.
Angalia wimbo wake wa Zuena na wimbo wa Yatapita.
Wakuu comment ziwe fupifupi
Hello jukwaa la celebs
Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini Diamond platnumz vile vile walibahatika kupata mtoto.......
Bi dada huyo ametrend kwenye social...
Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo.
Nawatakiwa Asubuhi Njema
bongo
bongo fleva
diamonddiamond platinumz
kabla
kifo
kutoka
mashuhuri
mkubwa
msanii
mtumishi wa mungu
mungu
mwaka
mwanamuziki
nchi mbalimbali
nyota
tanzania
wachungaji
wawili
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu.
Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora...
King Charles III owns the largest clear cut diamond in the world Known as 'The Great Star of Africa' the 530 carats gem was mined in South Africa back in 1905.
It was stolen from South Africa. It has an estimated worth of $400 million.
The British claim that it was given to them as a symbol...
Diamond Platinumz msanii namba moja Africa ni zaidi ya msanii.
Mimi namuita mwanamapinduzi au kwa kilami wanasema game changer na anaendelea kulionesha ilo kwa vitendo.
Jambo lolote ambalo lilionekana haliwezekani kwenye industry yetu ya burudani yeye alibadilisha mtazamo na kuwa inawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.