Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it"
Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue.
Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
Msanii kutoka Nigeria asake, alifunguka hivi karibuni kuhusu kitendo cha msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz kuiga staili yake ya mtindo wa nywele pamoja na staili yake ya kuimba Baadhi ya nyimbo.
Msanii huyo amedai kushangazwa sana na kitendo hicho cha msanii Diamond Platnumz,
Mpe neno...
Msanii wa mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz akiwa kwenye birthday party ya Manara jana usiku, alitumia sehemu kubwa ya salam zake kuongelea sakata la Manara kufungiwa na TFF kujishirikisha na mpira wa miguu Tanzania. Diamond amesema ni chuki na kuiomba Serikali ifanye jambo.
Diamond...
Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana.
ANGALIA VIDEO HAPA
Written by Mjanja M1
Video from WasafiTv
Ukweli unatuweka huru.
Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake.
Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz.
Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana.
Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu.
Mungu ataendelea...
Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto .
1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny):
Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi.
Sababu kuu ya kuchukiwa kwa hii couple ilikuja baada ya Diamond Platnumz kumpiga chini Wema Sepetu...
Mzuka wanajamvi.
Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged.
Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa.
Na hiki kitendo kilimkasirisha sana Diamond siyo kwasababu kofia ni ghali bali kufanyiwa matambiko na kurogwa kupitia...
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo.
Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru.
Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk...
Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule anayesema " Action!!!".
Na hata baada ya Diamond kuingia ndani ya gari nakuanza kuchukuliwa video...
Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava
1. Harmonize, Jux & Marioo
2. Diamond, Barnaba & Jay Melody
3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso
Utasikiliza kundi namba ngapi?
Nimeona Chid analalamika kaimba na Diamond ila ajalipwa pesa.
Ni hivi Chid Benz ana wimbo unaitwa Tunaishi nao kamshilikisha Diamond Platnumz.
Chidi analalamika mtu ambaye kamshilikisha kwenye wimbo wake ajamlipa. How come mwenye wimbo anataka alipwe na aliyepewa colabo?
Diamond aliamua...
Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki.
Tumpe pongezi zake.
Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini.
Wimbo wa ninasiri umetoka...
Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya.
Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana...
Huyu jamaa ana mameneja watatu ila naona kwenye suala la personality wameshindwa kumshauri kabisa. Kwa muonekano wa mondi wa sasa ni either kajiingiza kwenye drugs au mambo ya kigasho..muda utasema tu.
Diamond wa leo karudi kwenye usela ule wa black Americans wa miaka ya 90 kuvaa manguo makubwa...
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.
Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi...
Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye akili tunaenda kusikiliza.
Nominations za Grammy za mwaka 2024 zimetangazwa, na wasanii kama vile Drake, Ice Spice na SZA miongoni mwa wa wanaowania tuzo.
Waandaaji (Recording Academy) imetaja orodha kamili ya wateule Novemba 10 kabla ya Tuzo za 66 za Grammy, zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Crypto.com huko Los Angeles...
Hapa kashirikishwa na G-Nako, wimbo unaitwa Komando, ila melody za Diamond zinafanana 90% na wimbo wa Amapiano aloimba Asake.
Sikiliza kisha ufanye conclusion mwenyewe kama Diamond anasingiziwa ama laah..
https://youtu.be/l_-v1fNdSHs?si=xcfiDZLAofP63utF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.