diamond

  1. Hance Mtanashati

    Fadhili Majiha anahitaji mapambano matano 🖐️ tu aweze kumtukana mpaka Diamond Platnumz

    Baada ya bondia Fadhili Majiha kumtwanga The wonder boy Profesa Bongani Mahlangu na kufanikiwa kuchukuwa mkanda wenye heshima zaidi duniani ambao sio mwingine bali mkanda wa WBC (WBC AFRICA BANTAMWEIGHT ) na kumfanya kuwa bondia namba 7 duniani na namba 1 hapa Tanzania katika uzito wake wa...
  2. sinza pazuri

    Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

    Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz. Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia. Watu...
  3. sinza pazuri

    Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

    Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora kutoka Afrika kwa mara ya 3 katika mashindano ya MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 ) diamond amewashinda Asake, BurnaBoy   (Nigeria) Libianca (Cameroon) na TylerICU (Dj wa Afrika Kusini). Hongera sana sisi wanaJF tunathamini...
  4. Hance Mtanashati

    Diamond anaona mbali sana, hakukosea kabisa alipoimba Makonda baba lao!

    Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa. Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue. Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri...
  5. DR HAYA LAND

    Isssue ya Diamond ni Miguu tu

    Watu baadhi Wanasema Jamaa amekonda Ila kiufupi hii issue yake jamaa yupo busy Sana so tuendelee kumsapoti Nakumpa constructive criticism The guy is really hustler
  6. Nifah

    Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi! Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana...
  7. B

    Wasanii wa Tanzania mnakwama wapi kwenda kimataifa? Jifunzeni kwa Diamond Platinum

    Mwaka 2010, jina la la Diamond Platinum lilichomoza kwenye vyombo vingi vya burudani kwa wimbo wake uliokuwa mkali kipindi hicho "Kamwambie". Ilimuchukua Diamond miaka 4 kupambana kwa kuimba sana nyimbo nzuri mpaka 2014 alipopata collabo kubwa ya kimataifa na Davido kwa wimbo wake "number one...
  8. sinza pazuri

    Diamond Platnumz ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF (AFCON). Kama atatokea mwingine anarudia

    Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017. Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
  9. Tea Party

    Mtandao wa Nigeria wataja ngoma 100 bora za muda wote Tanzania. Diamond, Gigy Money wamo

    Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
  10. R

    Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

    Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
  11. covid 19

    Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  12. K

    Zuchu amkana Diamond si mpenzi wake baada ya sakata ya Tanasha

    Malkia wa Bongo fleva, Zuhura Othman almaarufu Zuchu kwa mara nyingine amelazimika kujitokeza na kufafanua uhusiano wake na bosi wa WCB, Diamond Platnumz. Huku gumzo kubwa ambalo linawahusisha yeye, Diamond, Tanasha Donna na Mama Dangote likiendelea, msanii huyo mzaliwa wa Zanzibar ameibuka na...
  13. K

    Ndege ya Diamond Platnumz aliyosema kanunua iko wapi?

    Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni kuongeza thamani yake. Baada ya kauli hiyo, Diamond akasifiwa sana na kuelezwa kwamba angekuwa msanii...
  14. Maleven

    "Wazuri ni wengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa" kasema kweli diamond

    Yani wazuri ni wengi sana ila ndo pasua kichwa, hasa mjini, warembo kila kona lakini ni nightmare. Vijana watabisha
  15. sinza pazuri

    Wasanii wa kibongo ombeni msamaha kwa Diamond..kabla hali haijawa mbaya

    Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva. Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye. Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu. Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure. Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa...
  16. Jamii Opportunities

    Primary School Teacher at Williamson Diamond Limited (WDL)

    Position: Primary School Teacher Location: Williamson Diamonds Limited, Mwadui, Shinyanga Grade: C2 Report: Head Teacher Role Description: The role is responsible to educate and motivate pupils as per the National Curriculum framework and using creative resources to contribute to their...
  17. lord atkin

    Kesi ya diamond karanga, Wasafi na Kusaga ilivyofika mwisho mahakamani

    DIAMOND PLATNUMZ NA DIAMOND KARANGA ILIVYOGEUKA TALAKA YA CHOZI Na Luqman MALOTO INGEWEZEKANA, yaliyowezekana kwenye movie ya Superman mwaka 1978, yangewezeshwa katika ulimwengu halisi. Superman alipaa nje ya dunia, akailazimisha sayari kurudi kinyumenyume. Kwa sayari kurudi reverse, muda nao...
  18. H

    Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

    Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
  19. K

    Kumbe Amina wa Ali Kiba alimshtaki Diamond? Ona alivyojibiwa sasa

    Amina Khalef, mke aliyeachana na mwanamuziki maarufu wa Bongo, Ali Kiba amemchukulia hatua za kisheria mwimbaji Diamond Platnumz katika siku chache zilizopita. Hii ni kutokana na matamshi ya hivi majuzi ambayo msanii huyo wa 'Zuwena' aliyatoa wakati wa majibizano makali mtandaoni na Alikiba...
  20. M

    Diamond alipokutana na Kagame Rwanda alionesha Mapungufu ya Kiitifaki

    Mlioona clip ya juzi ikimuonyesha Diamond akiwa Rwanda na kukutana na Rais Kagame utaona Approach yake kwa kiongozi huyo ilivyokuwa na kasoro, jinsi Diamond alivyokuwa anamuongelesha Rais huyo ilikuwa kama vile anaongea na Babu Tale au mtu mwenye hadhi ya kawaida tu. Pia alionekana mara nyingi...
Back
Top Bottom