dini

  1. Mzee Kikwete anatakiwa kuelewa kuwa Dini ni Siasa na Siasa ni Dini

    MHESHIMIWA KIKWETE SISI WATUMISHI WA MUNGU HATUWEZI KUTOFAUTISHA SIASA NA DINI KWA SABABU SIASA NI DINI NA DINI NI SIASA. Na Mwandishi wetu Mzalendo Mtanganyika toka Ughaibuni. 20 August 2023. 16:30 pm Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na...
  2. Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

    Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha...
  3. Kikwete watumishi wa Mungu hawezi kutofautisha siasa na dini kwa sababu siasa ni dini na dini ni siasa

    Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na viongozi wa kisiasa wanataka kuigeuza nchi yetu shamba la Bibi.🩸🩸🩸 Kwanza kabisa napenda niwashukuru Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuuelewesha Umma. Kanisa Katoliki ni...
  4. Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

    ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari. Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo...
  5. R

    Viongozi wa dini watembelea Bwawa la Nyerere

    Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), limesema mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakuwa na manufaa makubwa manne ambayo ni kufua umeme, uvuvi, utalii na ufugaji. Kauli hiyo wameitoa leo wakati wanazungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kumaliza ziara ya...
  6. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  7. Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi? Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani? Na siasa je, inafanyikia wapi...
  8. U

    Mch. Mbarikiwa ahoji iwapo kiongozi wa dini kukemea uovu wa viongozi wa kisiasa ndiyo kuchanganya dini na siasa? Amtaka Kikwete kufafanua hoja yake

    Ukombozi wa pili wa taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka.. Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupigania HAKI kama walivyo kina Tundu Lissu au Mdude Nyangali au Boniface Mwambukusi au Dr Slaa au Freeman...
  9. Viongozi wa dini mjitathimini,kouona makosa ya serikali kuliko kuona makosa yenu.

    Anaandika ONJO. Mimi sina dini,nitaandika kweli tu,naamu kweli tu. 1. Viongozi wa dini mkili wazi kuwa hamuijui kweli. Maana kama ni mkristo ambaye ni kiongozi anawezaje kuanzisha mahakama ya kuwahukumu mapadri/ wachugaji wakosaji kwa sheria. Au mnapata wapi mamlaka ya kuwashusha vyeo...
  10. Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  11. Migogoro mingi duniani inatokana na kulazimisha watu wa dini, rangi na makabila tofauti kuunda nchi moja

    Hii mada nimeitoa mara nyingi naimba niitoe tena. Duniani sehemu kubwa ya migogoro inasababishwa na jambo hili. Huhitaji kuambiwa hili, linaonekana waziwazi. Mifano ni mingi kupita maelezo. India ilivunjika vipande vipande na kutoa nchi mbili ya Wahindu na Waislamu. Nigeria ilitaka kuvunjika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…