dini

  1. Mhaya

    Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

    Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini. https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Lakini mara nyingi nimekuwa...
  2. LIKUD

    Nafsi ya Joh Makini imeshindwa kukubaliana na ukweli Mchungu kuhusu mapokezi duni ya wimbo wake mpya uitwao "Bobea"

    Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla. Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa...
  3. Forgotten

    Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

    The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa. Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha...
  4. Kishimbe wa Kishimbe

    Serikali ilitakiwa kutumia busara kwenye operation ya kimila ya kupambana na wachawi Rukwa

    Serikali ya Tanzania haina dini, lakini, baada ya kufuatilia hili Sakata la Lambalamba, nimebaini kuwa Watanzania wana dini zao na wengi sana wanafuata dini zao za kimila! Chonde chonde, ni hatari sana kukabili masuala ya imani za watu kinguvunguvu bila kuzama kukaa na waumini husika na...
  5. F

    Wanaume wa kiislam msitumie dini kunyanyasa wanawake wa kiislam kisaikolojia

    Habari wadau. Dini ya kiislam ina mengi mazuri. Hata swala la kuruhusu mwanaume kuoa wake wanne liliwekwa kwa nia nzuri tu. Pia swala la kumuacha mke kwa talaka moja mpaka tatu pia ni utaratibu wa kidini. Shida hizi taratibu zinachukuliwa vibaya na wanaume wa ki africa. Tazama hii video ya...
  6. Idugunde

    Mzee Wasira acha kupotosha watu, dini na siasa havitengamani. Ndio maana Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumkosoa Herode

    Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja. Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
  7. K

    Askofu Kilaini: Ni Wajibu wa Viongozi wa Dini kutetea maadili na Utawala bora

    Akichangia Mjadala Katika Kipindi cha Minzani Kilichorushwa mubashara na TBC Kilichowajumuisha pia Shehe Salim Aliyekuwa Shehe mkuu Wa Dsm, Hamadi Rashid M/kiti Wa ADC na Mkongwe Steven Wasira. Askofu Kilaini Amesema Si vyema Viongozi wa Dini Kutumia Mimbari Ukiwa bado umevaa Cheo chako au Joho...
  8. The Eric

    Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

    Salaam! Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu. Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi...
  9. B

    Hii Dharau kwa Vitabu vya Dini (Biblia/Msahafu) na Katiba, haitatufikisha mbali

    Habari wana jamvi wa JF, Sisi kama binadamu, tumeumbwa kufuata miongozo. Miongozo hiyo imo katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msahafu kwa upande wa dini na Katiba kwa upande wa kisiasa. Bila miongozo hii, tusingekuwa hapa tulipo na dunia pasingekuwa mahali salama pa kuishi. Hivyo...
  10. GENTAMYCINE

    Ni kweli vitabu vya dini havituruhusu tutukane viongozi wetu; je, vinaruhusu viongozi watuibie na wawe mafisadi wa kutupwa?

    "Kama Vitabu vyetu vya Dini Quran na Biblia vinatufundisha kuwa na Maadili, kuheshimiana, kuvumiliana, Kusameheana na Kutotukanana iweje Wewe Mwanadamu uende navyo Kinyume kwasababu tu ya Maslahi yako ya Siasa?" amesema Rais Mmoja wa duniani ambaye kwa sasa GENTAMYCINE nimemsahau Jina ila najua...
  11. G

    Ni wanasiasa gani waliochangia dini za wenzao majukwaani?

    Katika hotuba yake leo, miongoni mwao mambo aliyoyasema rais ni kuwa kuna watu wametumia mikutano ya kisiasa kuchambua dini za wengine, jambo ambalo lilimkera sana rais. Je, ni kweli hilo limefanyika na wapi, na nani, lini. Kama sio kweli basi wanasaikolojia wamsaidie na watusaidie. Huenda uzi...
  12. Mparee2

    Wasimamizi wa mitihani shule za madhehebu ya Dini wajikumbushe taratibu za madhehebu husika

    Nafikiri kuwepo na mafundisho rasmi yanayoelekeza wasimamizi wanaosimamia mitihani shule za madhehebu ya dini kujua mipaka yao ili wasiingilie zile taratibu za kawaida zilizokubaliwa na serikali. Hivi inakuwaje msimamizi mwanamme; ana anza kuwavua Watoto wakike vitambaa na mara nyingine wakiwa...
  13. Mto Songwe

    Niwape maua yenu Wasabato, mnajua kuimba nyimbo za dini

    Kwanza kabisa mwanzo wa yote wacha niweke msimamo wangu kuwa mimi sio mtu wa dini yoyote(sina dini). Turudi kwenye dhumuni la uzi huu ambalo ni kuwapa pongezi zao Seventh Day Adventist(SDA) kwa namna ambavyo ni mafundi haswa wa kuimba nyimbo za dini mpaka mtu ana burudika haswa. Mimi ni mpenzi...
  14. matunduizi

    Huu ndio mtiririko wa utajiri wa waumini wa dini 4 zinazoamini Biblia. Wa mwisho watakushtua.

    1: Uyahudi (Judaism). Hawa ndio wanaoongoza kwa utajiri kwani wao wanaamini torah (vitabu vitano vya Musa) vina sheria 613 ambazo ni code za utajiri ukizitumia maishani. Pia wanaamini TANAKH (Yoshua hadi malaki) pamoja na vitabu vyao vinavyotafsiri maandiko hayo kuna siri kubwa za utajiri...
  15. B

    Wanasiasa wanavyotumia dini kuwanyonya/kuwakandamiza raia

    1. Eti msichanganye dini na siasa wakati kwenye misaafu tunasoma dini na siasa haviwezi kutenganishwa. Na ndiyo maana viongozi wetu huapa kwa misaafu hiyo. 2. Eti viongozi wa dini wanapaswa kuwafundisha waamini wao Unyenyekevu na utii kwa mamlaka (serikali) hata kama inawanyanyasa! Hii siyo...
  16. Lanlady

    Ombi langu kwa viongozi wa waamini wa dini zote!

    Naomba kutumia jukwaa hili kuwaomba viongozi wa dini zote kuacha kabisa kulumbana kwasababu za mambo ya kisiasa. Badala yake viongozi hawa waungane kwa pamoja na kutoa tamko la kuliombea TAIFA. Yawepo maombi ya siku kadhaa ya kuliombea taifa. Tunakoelekea sio kuzuri, hali ya uchumi inazidi...
  17. Justine Marack

    Serikali iangalie huduma ya mazishi kwa wasiosali/wasioamini dini

    Katika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote. Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au...
  18. R

    Je, ni kweli Serikali haina Dini?

    Huwa sielewi huu msemo kwamba serikali haina dini. 1. Kwenye Ufunguzi wa Vikao vya Bunge kuna dua ya kumuomba Mungu. 2. Kwenye Viapo vya Teuzi za Viongozi wa Serikali humuomba Mwenyezi Mungu awasaidie kutimiza viapo vyao. 3. Wimbo wa Taifa unamuomba Mungu kulibariki taifa. Au kusema Serikali...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Athari za kuchanganya Siasa na Dini

    Uhusiano kati ya dini na siasa ni suala ambalo limekuwa na athari kubwa katika historia ya binadamu. Dini na siasa zinaweza kuwa na uhusiano wa karibu au wa mbali, na athari za uhusiano huu zinaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa kihistoria, kitamaduni, na kijamii. Hapa kuna baadhi ya...
  20. Ulimbo

    Siasa na dini

    Kuna baadhi ya viongozi wa vyama na serikali wamekuwa waki toa maneno, wakiwataka viongozi wa dini wasijiingize kwenye siasa. La ajabu hao viongozi ni waumini wa hizo dini, na walipoapishwa, waliapa kwa kushika vitabu vya dini zao. Pia wanapokuwa kweny matukio mbalimbali, wanawashirikishia...
Back
Top Bottom