Zab 23:1-7, Mithali 3:1-4, Zab 1:1-3, 1Kor 2;6-15, Kut 3:1-9
=========================
Mchungaji aliyeokoka anayeongoza kundi au waumini, ni lazima awe na sifa zifuatazo:
i. Awe mfano kwa tabia na mwenendo.
ii. Asitamani mali za anasa zitakazo mtoa nje ya kusudi alilopewa.
iii. Aepuke fedha...
Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance.
https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl
Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia...
Salaam.
Ama baada ya salamu mimi ni mzima, bukheri wa siha njema. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Nakutakia weekend njema.
Leo nataka nikuonyeshe tu kwa kidogo ni jinsi gani shetani amekuwa akitumia dini na vitabu vitakatifu kujinufaisha yeye zaidi kuliko kambi...
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
Kwa sasa amepiga...
Anguko kubwa la mwanaume ni kuamua kubadilisha dini na kumfuata mwanamke. Mwanaume hutakiwi kubadilisha dini na kumfuata mwanamke bali yeye anatakiwa kubadilisha dini na kukufuata wewe.
Mwanamke anapoolewa na mwanaume, automatic huondoka katika jamii yake na kwenda katika jamii ya mwanaume...
Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa.
Hata hivyo, cha kushangaza...
ACHA KABISA
Hakuna bussiness isio na usumbufu kama hiii aiseeee
ni usiku wa jana niliamua kukesha na maombi redion nikasikia mahubiri kadhaa baada ya hapo mtumishi akasema andika msg nakata........nkaandika nkatuma
asbh nkakutana na msg Bw .......njoo...panda basi fika,,......uliza...
Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania.
Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii...
Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"
How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..
Mifano hai...
Wakuu katika nchi,
Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali,
Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo,
Lakini deep down ukifuatilia utakuja jua kuwa chanzo cha vikundi vyote vya ugaidi ni uroho wa madaraka...
Supernatural power ni nguvu ya asili ambayo ni matokeo ya ukamilifu wa mifumo na vitu vinavyounda mazingira. (Mazingira hai na mazingira mfu).
Nakubaliana na uwepo wa Supernatural power lakini kwenye dini bado sijashawishika.
Kila kiumbe hai hujitengeneza chenyewe automatically huku mchakato...
Suspected Boko Haram terrorists, on Sunday, attacked Zabarmari farmers while working on their rice fields in Mafa local government area of Borno State, killing over 15.
Awali Casa, a rice farmer, who confirmed the attack on Monday to LEADERSHIP in Maiduguri, said there was palpable fear among...
Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti.
Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema.
Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni...
Zipo nadharia tofauti zinazoelezea asili ya jamii (muingiliano) mpaka kufikia dola za hivi sasa na miongoni mwao ni creation theory from holy book na state of nature theory (social contract theory), ambapo kuna wanazuoni kama Thomas Hobbies, Jean Jack.., John Locke na wengineo.
Ambapo kundi la...
Mungu alipumba binadamu wa kwanza alikuwa tajiri sana.
Walipewa dunia nzima kama shamba. Na alimuwekea hazina ya dhahabu safi bustanini eden ya thamani ya matrillion mara trillion.
Adam na eva walikuwa matrillionea.
Umasikini uliingia kwa sababu ya dhambi. Hapakuwa na binadamu masikini kabla...
Hapa nazungumzia Ukatoliki na Uislamu.
1st similarity
-Wakatoliki hutumia rozari kwenye sala zao.
-Waislamu nao wana kitu kinaitwa misbahah au prayer beads, na wao wanatumia kweny sala zao.
2nd Similarity
-Wakatoliki wana quaresma, kipindi cha kufunga na kufanya toba.
-Waislamu nao...
Historia ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo.
EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS.
Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa...
Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.
Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.
Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.
Uwepo wetu katika nchi yetu hauna maana dini hii iitwayo mpira inazidi kutuangamiza Watanzania kwa kutufanya...
Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.