Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile.
Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY).
SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY)
Usidanganyike, huhitaji kutumia nguvu kubwa kuvamia taifa la watu ambao wamehalilisha rushwa kama sehemu ya utamaduni wa maisha yao...
Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) yameuawa na wanajeshi wa Uganda na DRC, pia watoto na akina mama walioshikiliwa mateka wakombolewa. Jamaa wamewahishwa kwa mabikira.
=========
Three rebels were killed, and eight individuals, including five children...
Nairobi, Kenya.
Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
Wapendwa wa jf mambo zenu ,
Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake .
Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam...
Wanabodi, Asalaam Aleikhum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, Shalom.
Ama baada ya salaam nilejee kwenye mada yangu ya siku ya leo ambayo msingi wake nikuongelea hizi zinazoitwa shule za madhehebu mbalimbali ya dini hususani Wakristo.
Tuwapo makanisani tumekuwa na michango na harambeee...
Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa Manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume...
Tumezoea kuambiwa dini ni imani ambayo inatuunganisha moja kwa moja na mola wetu mwenye nguvu,ila wanasiasa wanajitahidi kutenganisha ukweli usijulikane kuwa dini ni siasa labda tujaribu ku-trace back kipindi cha mediaval era viongozi wengi wa dola walitumia dini katika kumiliki maeneo na...
Viongozi wa dini wameombwa kuendelea kusimamia imara na kukemea matendo maovu yanayopelekea mmomonyoko wa maadili hususan kwa vijana hasa katika mazingira ya yanayoendeshwa zaidi na ulimwengu wa kidijitali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe...
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye.
Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu,
Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi.
Ila ninaogopa sana kichaa cha dini, dini inaleta kichaa kibaya.
Walijitolea kwenda kufa kwa njaa ili waende mbinguni ni vichaa.
Waliokubali kuchomwa moto na Kibwetere ni vichaa.
Walioenda Airport wakitegemea wataenda Ulaya...
Kwa kiasi kikubwa hizi dini mbili kubwa za mashariki ya kati zilizo tapakaa Afrika Ukristo na Uislam.
Hizi dini kwa kiasi kikubwa zimeizika historia ya mwafrika cheo cha ufarao kimechorwa picha na dini hizi kama ushenzi.
Mafundisho ya hizi dini yana tengeneza collective punishment kwa msululu...
Mods, nilishawahi kuweka hapa threads mbili zinazohusiana na mambo ya dini ila sijui huwa mnazifuta au mnazihamishia kwingine maana baada ya muda kidogo nikipost huwa sizioni. Ikiwa mada hizi hazitakiwi humu niambieni sio mnaziondoa bila taarifa.
Kwenye mada sasa,
Dini zetu hizi kubwa mbili...
Tatizo letu binadamu ni moja, vitabu vya dini tunataka tuvisome kama vitabu vya hadithi vya akina Nyemo, tunataka kuvielewa kama vilivyoandikwa, yaani hatutaki kujua walikuwa na maana gani. Tatizo huwa hapo tu.
Sina uhakika na Kurani kwa kuwa sijaisoma sana, ila kwa Biblia, imeandikwa kimafumbo...
Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu.
Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU
Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU
Unateseka...
Dini ya haki dini ya haki!
Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas.
Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana.
https://twitter.com/visegrad24/status/1740517117882155219?t=NxTjtWOQhE8yVkNi4H5WfQ&s=19
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.