Swali la MSINGI;
IN THE FIRST PLACE, KWANINI UNAAMINI KATIKA DINI UNAYOIAMINI?
Kabla hujaendelea kusoma be honest with yourself na ujijibu🙏
Ok tuendelee.
Kila mtu kwa mujibu wa imani yake amekua akijenga HOJA NZITO kueleza “UKWELI” na u HALALI wa Mungu wake huku akinukuu maandiko ya dini...
Jana Mida ya Saa 8. Nilitoka Nje ya sehemu Yangu ya kibiashara(Ninapotafutia Ridhiki)
Kuna Watu walikua wanacheza Draft wanachangamsha Akili, Miongoni mwao alikuepo mzee mmoja ambae ni kiongozi ktk msikiti fulani.
Mara Nyingi huwa nafanya Baadhi ya Mambo ktk huo msiki ikinipendeza kufanya, na...
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake.
https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa?
Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Tuna fahamu asili za dini zipotoka kuna vitu vilikuwa havipo ila tuna lazimishwa kuvitambua vitu vyao ambavyo sisi huku havipo.
Mfano chakula kama tende, kitimoto, ngamia na n.k.
NChi ya saudia dini ilipotokea ni jangwa na nguruwe kuishi jangwani ni ngumu zaidi ya ngamia.
Kama hizi dini mbili...
Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika
Niliandika uzi uliotambulikana kuwa, Chadema ni chama cha wahuni?
Katika maelezo yangu nilitahadharisha kauli za wafuasi wa...
Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana.
Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
Mungu ni msimulizi hodari wa historia za manabiii wake ambao walishindwa kuandika sheria za mungu ila wanafunzi ndiyo msingi wa kusimama dini hizi, ila naogopa sana kwani maisha ya mitume tumeyapata kutoka katika hadith zilizogawanywa kwa watu tofauti na vipo vitabu vya wafuasi wa karibu wa...
Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa.
Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga.
Kwa nini watu hawa...
KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU
Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya baadae (kwa future)
(A) Maana yake mimi siwezi kwenda kinyume na anachokijua Mungu, sasa hii kauli ya...
Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini.
Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako.
Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
Kuna dini moja inamwabudu mwanamke bikira, alizaa mtoto zaidi ya mmoja, lakini bado wanamuita bikira mtakatifu mama wa Mungu.
Dini nyingi wanaamini kwamba peponi ukifika unapewa wanawake bikira 72, ambao ni mabikira milele, hata uwafyantue kiasi gani wao wataendelea kuwa mabikira tu milele na...
Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake.
Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana.
Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
HOTUBA YA NYERERE NA VIONGOZI WA DINI TABORA 27/7/70
Key Take Away:
NCHI ya Tanzania / TANU hazina Dini; Wananchi ndio Wana Dini...
Kichama / TANU Hatujui kama Mungu yupo au hayupo (Hatuulizani); Tunaulizana Habari za Maji, Maharagwe na Mabarabara..... Lakini hatuulizi Kabisa kama ipo Pepo...
Hawa ndio maadui wa Taifa letu:
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
4. Imani za kishirikina yaani ( kuamini uchawi , waganga wa kienyeji na Maustaz wasoma Nyota na kutoa majini )
5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu.
Hawa watano ndio maadui wa kweli wa...
Namna ambavyo Atheism inasambaa ulimwenguni kwa sasa kadiri miaka inavyo songa katika njia ya amani inanipa faraja na kusema hii ndio njia ambayo dini ilipaswa kuitumia.
Huwezi kuta Atheists wanatumia nguvu kubwa kama vita, kuchinja watu, kulipua watu ili wasiamini kuwa kuna Mungu lakini haya...
Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi ya wote ni yeye, kuonewa ni yeye, kutishia ni yeye tu, kutunga sheria za papo kwa papo ni yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.