dini

  1. G

    Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga Biashara ikiwa na wateja...
  2. DR HAYA LAND

    Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  3. GUSA ACHIA BAHASHA GOLI

    Ona jinsi wakristo wanavyoteseka nchini Nigeria na jeshi liko upande wa islamist

    Je ni kweli dini yao ni ya amani kama wasemavyo wenyewe humu? https://twitter.com/visegrad24/status/1781802292548673704?t=u-VrM9jzxIx-C2pXqt8iog&s=19
  4. S

    Kwahiyo Rais Ruto amebadilisha dini?

    Embu Wakenya tujulishe
  5. Makonde plateu

    Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
  6. Mhafidhina07

    Vitabu vya dini vinamuonaje/vinatoaje taswira ya Mungu?

    Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo. Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano wake na hata ukiangalia mwanzo wa ulimwengu aliummbwa adamu hivyo kwa nadharia hii wengi wa waandishi...
  7. R

    Tanzania kwa sasa kuna kiongozi wa dini asiyefungamana na maovu ya kisiasa na kusimama na Mungu wakati wote anapojaribiwa?

    Zamani tulifundishwa tusiwaseme vibaya viongozi wa dini; tukaishi na huo utamaduni na kutufanya kushindwa kulijenga kanisa la kweli na uislamu wa kweli. Kutokana na kufundishwa kuwa waongo mbele ya viongozi wa dini ilituwia ngumu kuwakemea pale wanapokosea. Tukawa tunakwenda kanisani na...
  8. LIKUD

    Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  9. J

    Kiongozi wa Dini anayetakiwa kuwa Mfano kujihusisha na Biashara ya Watumwa hii imekaaje?

    Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea...
  10. R

    Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

    Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa. Pamoja na kuona dalili hizi na nikikumbuka uchaguzi uliofanyika Arusha kumchagua Malasusa; lakini...
  11. Utajua wewe

    Harmonize afikishwe sober house haraka, mihadarati inapeleka kubaya

    Leo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana. Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe mwanaharamu apite ila bado akalifunua! Tafadhali ficha ujinga hata nusu.
  12. Kijakazi

    Dini na Staha vs Ushenzi!

    swali: kwa nini wote wanaofanya ushenzi mitandaoni na kutukana na kudhalilisha watawala tena kwa matusi ya nguoni ni waislamu? I mean these people have no boundaries je, imetokea tu au kuna tatizo na waumini wa kiislamu wa tanzagiza kwamba hata uislamu hawauelewi? kusingizia kabila nakataa kwa...
  13. M

    Islamic Scholar anasema Waislamu wanaonewa wivu na dini zingine sababu ya Warembo Mabikra 72 watakaopewa Peponi

    Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
  14. Manyanza

    Binadamu anaweza kuishi bila dini ikiwa anafahamu mwanzo na kusudi la mwisho la kuwepo kwake

    Hii ni kwa Kiranga na mshamba_hachekwi , naomba maoni yenu 🤔 Dini lengo lake kuu ni kuwaunganisha watu kuwa katika udugu mmoja kwa ufunuo wa chanzo kimoja cha asili, lakini dini imekuwa tofauti imekuwa uwanja wa ubishani nani yupo sahihi? Lengo la jumla la dini halipo ila lipo lengo la...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Amina Mzee Akabidhi Mitungi 200 ya Gesi, Aungana Kushiriki Iftar na Waumini wa Dini ya Kiislam

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar), Mhe. Amina Ali Mzee ameongoza semina ya mafunzo ya kutumia gesi kupikia na amewataka wajasiriamali kutumia nishati safi ya kupikia (gesi) ili kurahisisha shughuli zao za kujikomboa kiuchumi. "Tunaelewa lengo kuu na Dira ya...
  16. Webabu

    Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

    Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo kutimia.Muda mfupi baadae nchi ikapata msiba mkubwa wa meli ya MV Bukoba kuzama.Vita ikashika kasi...
  17. Mhaya

    Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go. Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran. Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa...
  18. covid 19

    Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  19. M

    Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  20. Allen Kilewella

    Tunaweza kuwa waislam au wakristo bila ya kubeba tamaduni za waliotuletea dini hizo?

    Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye. Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa. Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku...
Back
Top Bottom