Naomba kuuliza? hivi Viongozi wa dini baada ya wao kufanya uchaguzi ndani ya taasisi zao na wao huwa wanaapa kwa kutumia vitabu Vitakatifu Kama ilivyokwa Viongozi wa Serikali ?
HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA
Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu
Chanzo mwananchi 17th May 2024
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
. Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri...
Hii ni historia ya Tanganyika ambayo inasimuliwa na Sheikh Zuberi bin Yahya.
Anasema Sheikh Zuberi( pay attention) Seyyid Majjid, Sultan wa Zanzibar kuanzia Octobet 19,1856 mpaka October 7, 1870, alininua kiwanja kikubwa maeneo ya Mzizima eneo ambalp linajumuisha viwanja vya Ikulu,kanisa la...
Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.
Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki...
Amri ya Pili katika Amri Kumi:
Kutoka 20:4-5: "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvihudumia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu."
Kukemea...
Kuna wakati Rais Mobutu Seseseko alianzisha sera ya "African Authentication" iliyokuwa na lengo la Afrika kujitambua.
Kama mfano aliamua kubadili jina la nchi hiyo kutoka Belgium Congo na kuiita Zaire.
Hata yeye alibadili jina lake la ubatizo la Joseph Desire na kujiita Mobutu Seseseko Kuku...
Nimekutana na hii discussion hapa ikidai kwamba Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la makanisa na wachungaji. Hali hii imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya ya makanisa kwa ajili ya utakatishaji fedha.
Hapa wadau walikua wanasema hizi ni baadhi ya njia...
Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti.
Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo?
Ushauri Wana JF
Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali. Lakini pia kumekuwa na kawaida ya viongozi wa serikali kutoa mamilioni ya shilingi kama michango ya...
Akifanyiwa mahojiano na kituo cha Habari cha Global TV Dkt Sule ameeleza masuala mbalimbali yanayohusu kupata mali kwa kutumia majini. Akifafanua kwa imani yake kuwa kupata mali kwa Majini si haramu Sule anasema:
Kupata mali kwa njia ya majini ambao sio wachafu sio haramu, nitasema na...
Mafundisho ya Dini yenye uwalakini.
Kuna Mafundisho ya Dini yamekua na mapungufu.
Muislam hufundishwa na kuelimishwa kupitia Quran, Imani ili ijitetee yenyewe hauhitaji kufundisha mapungufu ya Ukristo
(Ku ingilia Mafundisho ya Ukristo na misingi ya Iman yake) nikuonesha Imani husika inayo...
Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo maalumu katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, mmomonyoko wa maadili, matumizi ya dawa za...
Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao.
Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana.
Binafsi watoto wangu...
Ni kweli, kwa ajili ya kulinda maadili, wanafunzi/watoto wetu wanapaswa kufundishwa dini. hoja ni wafundishwe wapi? makanisani au shuleni? tukiweka shuleni si tutaleta hadi makazini? zamani nilipokuwa mdogo waalimu wakristo walikuwa wanakuja kutufundisha darasani siku ya jumatano na jumamosi...
Yote hii kwa ajili ya kumtukuza 'mungu' wao....
Mozambique's army is fighting Islamist insurgents who launched a major attack on the northern town of Macomia on Friday morning, President Filipe Nyusi said in a televised address.
The town is in Cabo Delgado, a gas-rich northern province where...
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili.
Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi...
Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
wahalifu hasa wa kusafirisha magendo, wizi, utapeli hawa karibu wote wanaenda kwa waganga
Wengi wakiumwa hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.