Dini zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kwa maelfu ya miaka, zikitoa mwongozo wa kimaadili na kiroho. Hata hivyo, kuna hoja mbalimbali zinazotumiwa kuonyesha kwamba dini ni utapeli. Moja ya hoja hizi ni kwanini vitabu vya dini havijataja sayari nyingine zaidi ya Dunia.
Vitabu vya...
Nimeona moja ya sababu ya kumwondoa Kiboko ya Wachawi ni wizi utapeli kumwona 500000
Nimeona pia mtudaiidie kuna dini zingine wanaanzisha matamasha tena kila mkoaaa na ule wenye hela nzuri wanaongeza viingilio
Hapo hapo ukute wameshapokea mahela ya t-shirt soksi na majeans yao
Haya matamasha...
Wakimbizi wengi wa kisomali wanabadili dini wakofika kenya.Hii ni kwa sababu serikali ya kenya inaruhusu kila dini tofauti na nchini kwao ambako wanauliwa kisa dini!
Wasomali wanasema wamefanya au kufuata ukristo kwa miaka kumi kisiri siri wakiwa somalia.
Huu mkasa unafanana na iran
Je kama...
Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni
Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi.
Nimemaliza
Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka:
Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
Hapa kazini nimekutana na binti Wa kisabato.Nimekua nae karibu sana na ananiheshimu sana kikazi lakin pia kimahusiano ya kawaida.
Ni binti mwenye maadili ya hali ya juu, kutokana na mazoea nikaamua nimchimbe alikujaje kua msabato kwan nilijua amezaliwa kwene familia ya kisabato haswaa.
Cha...
Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu.
Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu
Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi.
Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini.
Wimbo
Bwana ndie mchungaji wangu mimi
Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu
Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini.
Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira.
Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati...
WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa.
Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi?
JE...
Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo:
1. Iran
2. Vatican
3. Saudi Arabia
4. Marekani
5. Oman
6. Uingereza
7. Zanzibar
8. Tanganyika
9. Misri
10. Nigeria
Katika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti.
Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku...
Kwa Kisiri Sanawari katika wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, jioni hii ya 11/7/2024 umepatikana mwili wa mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 akiwa amefariki ndani.
Kwa mujibu wa taarifa ya mkewe imeeleza kwamba mume wake alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu na...
Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k
Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa...
Habari zenu wnanajamiii. Nimekuwa nikifikiri sana hivi kwanini dini zote zinatumia hofu kuhakisha uwepo wake?
Yaani ni hivi watu wanao amini kuwa Mungu yupo hawafanyi hivyo kwasababu wanapenda au wamechaguwa kuamini hivyo.
Wengi kama sio wote bila kujari dini zao wanaamini Mungu kwasababu...
1. Yapo mambo hutokea kwa maombi na mengine hutokea kwa kusaidiana halafu maombi yakafuata. Viongozi wengi wa dini hujua la kuombea na la kuchangia ila huchagua kuombea tu hata vinavyohitaji kuchangia.
2. Kadri dini zinavyofundisha kumpenda Mungu, zifundishe pia wanadamu kupendana.
3. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.