Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao;
Ya kwanza ni
1. Indonesia.
2. Senegal
3. Pakistan
4. Mali
5. Tanzania.
Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
Amani kwako mdau.
Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika.
Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali.
Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu
Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote
Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18)
Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.
Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni...
Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa.
Soka ndio mchezo...
Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa.
Soka ndio mchezo...
Wakati nasoma O level nimeshuhudia kwa maandishi kuwa kunabiashara inaitwa Triangular Trade ni biashara inayohusisha mabara 3,moja ya bidhaa muhimu ni Watumwa kutoka Afrika siwezi kushangaa Taifa la Marekani kuwa na mchanganyiko wa Rangi.
Wakati najiribu kuangalia kwa ukaribu uwepo wa Taifa...
Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.
Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?
Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.
Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo...
Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu.
Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu.
Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu.
Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
Mimi Mjanja M1 siamini dini yoyote ulimwenguni lakini haimaanishi kuwa sitaki dini ziwepo ulimwenguni.
Nimekaa na kutafakari sana endapo kama huu ulimwengu ungekuwa hauna Imani za dini ingekuaje, jibu nililopata ni kwamba binadamu tungeishi kama Wanyama.
-Watu wangezaliana hovyo na hata...
Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji,
Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha...
Historia ya Marekani ilianza kwa raia walioondoka Ulaya hasa Uingereza kuanzia karne ya 16 kwa sababu mbalimbali lakini kubwa zaidi zikiwa ni mbili, fursa za uchumi na mkandamizo wa dini.
Kipindi cha karne ya 15 hadi 17 kulikuwa na mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali Ulaya ikiwemo...
Kama serikali Haina dini Wala kabila Kuna haja gani ya kuulizwa taarifa kama hizi, nilienda hospitali kutibiwa na Kadi ya NHIF nikawa naulizwa mambo haya imeniuma sana kwa kuwa mimi sioni kama kabila langu na dini yangu kuwa ni vitu vya kujivunia sana naamini kama watu wote ni sawa.
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini!
Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa!
Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui...
Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.
Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu.
1: Kuongezeka upotoshaji katika dini
2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa.
3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.