Maoni binafsi
Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja.
The bible is there
Quruan is there
But only few people can use it positively.
Watu wanatengana
Wanabaguana
Wanachukiana
Dini zote zinafundisha UPENDO...
Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono).
II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya huku wakiugulia maumivu moyoni.
Sekta zinazoongoza udhalilishaji wa kingono,
1. SIASA - huku...
Mungu fundi kweli
Wacha tuendekee kuishabikia tu
Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi
Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana
Wacha kabaki hivihici
Huyu bwana inaonekana kuweza kujenga ushawishi kwa viongozi wa dini zote hapa nchini, kukubalika katika dini zote na kupewa heshima ya kipekee na dini zote hapa nchini sasa kumempa kiburi.
Hadhi aliyoipata kanisa Katoliki asiichukulie poa/"for granted". Wakatoliki huwa hawapendi mtu awe mkubwa...
Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani?
Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini.
Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
Jana nilitoa wito wa kuzitumia siku tatu za ibada za wiki(Ijumaa, Jumamosi na Jumapili) kwa ajili ya kukemea matendo maovu yanayofanywa Nchini na hasa mauaji ya watu. Kipindi kile cha mahubiri/hutba kitumike kufanya kazi hiyo.
Kesho ni siku ya Ijumaa ambapo wenzetu waislamu ndo siku ya Ibada...
Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini.
Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini.
Mungu sio dini, Dini sio Mungu.
Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie.
Dini hizi ambazo viongozi...
Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.
Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial?
Unaweza kuta kweli njia...
"Exodus" ni dhana muhimu sana katika dini ya Rastafari, na pia inahusiana sana na muziki wa reggae, hasa kupitia wimbo maarufu wa Bob Marley, "Exodus" uliotolewa mwaka 1977. Ingawa wimbo huo wa Marley unahusu zaidi harakati za kisiasa na kiroho za watu wa Kiafrika, dhana ya "Exodus" inarudi...
Dini ya Rastafari ni harakati ya kiroho na kitamaduni iliyoanza nchini Jamaica katika miaka ya 1930. Harakati hii iliibuka kutokana na mafundisho ya Marcus Garvey, kiongozi wa harakati za Waafrika na mtu aliyesisitiza juu ya fahari ya utambulisho wa Kiafrika na kurudi Afrika kwa watu wenye asili...
Tulikuwa na dili za asili kila pahala ulimwenguni.. Kwenye baadhi ya maeneo mpaka leo zipo na zinaheshimika sana!
Dini hizi ni dini zenye imani juu ya miungu.. Zisizoamini katika Mungu mmoja
Binadamu huwa ni mwepesi kuchoshwa na kitu kilekile kwa wakati wote.
Zikaingia dini zenye kuamini...
Kumekuwa na Mambo mengi ya ovyo hapa Nchini.
Viongozi wengi wa Dini wamejitokeza hadharani kukemea maovu hayo, lakini kuna viongozi wa Dini nyingine wapo kimya kana kwamba hawayaoni yanayoendelea.
Naomba hawa viongozi wa Dini nyingine waliokaa kimya watuambie, wapo upande gani?
Je, wanahusika...
Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa.
Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi...
Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli.
Leo nitaitoa ishara moja tu.
1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri.
Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa?
Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.