Elon Musk - Wakati akikubali kuwa mafundisho ya Kikristo ni mazuri, anasema kwamba yeye si mtu wa dini.
Mark Zuckerberg - Amekuzwa katika familia ya Kiyahudi, aligeuka kuwa Atheist. Mwaka 2016 alinukuliwa akisema dini ni muhimu bila kutaja dini yake.
George Soros - Anatajwa kuwa billionea...
KAMARA KUSUPA NA DINI ZA KIGENI NA DINI ZA ASILI
Kuna maneno ukiyasoma sharti uingie hofu.
Dini za Kigeni.
Dini za Asili.
Kutoka kwa Mchungaji.
Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa chini ya msaada mkubwa wa Waislam.
Kitabu changu, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold...
Naomba nieleweke mimi ni muislamu sijaleta swali kwa lengo la kukejeli ila nataka ufahamu zaidi sitaki kubakia kweny kuta moja kweny hoja hzi.
1, Kwanini mungu hakuleta dini tunazotetea toka kuumbwa kwa huyu adamu?
2, Inakuwaje amewaacha binadamu katika sitonfamu ya imani?
3, Kwanini mitume...
Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa...
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.
Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana...
Viongozi wa Dini zote Mkoani Ruvuma wanatakiwa kuwa mstari wa mbele Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutangaza umuhimu wa amani na kusaidia kutoa elimu kwenye maeneo tofauti tofauti ya nyumba za ibada kupitia mahubiri yao ili wananchi waweze kufuta sheria za Nchi na kuepukana na...
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini.
Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
Hapa kuna orodha ya dini kubwa zaidi duniani kwa mujibu wa idadi ya wafuasi wao:
1. Ukristo: Ukristo unajumuisha madhehebu mbalimbali kama vile Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste, na wengine. Inakadiriwa kuwa na zaidi ya bilioni 2.3 ya wafuasi duniani kote. Ukristo ni dini...
Exception ni wakristo wachache sana kama wasabato wanaoamini bado Mungu huchukizwa na Pombe.
Hata ma askofu wakati wa misa hunywa mvinyo takatifu mbele ya macho yetu, sioni ubaya wowote kuwe na min bar makanisani kwajili ya waumini
Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige...
VIJANA WANAOENDA MIJINI NA KUDANDIA MTUMBWI WA VIBWENGO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwenye Wadada 10 basi 8 wanaovaa uchi, wauza nyapu, na wanaofanya mambo ya hovyo basi ni Watu wakuja. Yaani wamekuja mjini wakiwa tayari ni Watu wazima. Wadada 2 ndio wamezaliwa mjini
Halikadhalika na...
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala...
Wakati mwingine nasema sijui niwafumbue watu macho, muone kile watu wengi wanavyoviona ama niache. Nikiandika kidogo, watu wanakuja na kusema bro! Mwisho utakufuru...bro! Haya mambo ni makubwa sana... Na kadhalika.
Nisikilize! Hii dunia ina siri kubwa sana. Ina siri kubwa ambazo ukizisikia...
Dkt. Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo yako hadharani juu ya masuala ya kisiasa huwa hakuna 'contradiction' kwamba unaingiza labda Siasa...
Utata wa udini unatokea sana kwa sababu ya baadhi ya binadamu wanaoujua ukweli kujaribu kuwapotosha wengine kwaajili ya kulinda maslahi yao binafsi bila kuzingatia athari kwa watu wengine.
Tangu enzi na enzi Mungu amekuwa na utaratibu wa kuwatumia mitume wake ili kuwapatia mafunzo watu wake...
Waziri wa Kilimo na Mifugo, Abdallah Hamis Ulega ameyasema hayo wakati alipomuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko kwenye Mkutano wa 52 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya uliofanyika Kitonga, Msongola, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.
Amesema Mkutano huo...
Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia, hata Mods humu hawaupendi. CCM ni chama pekee cha siasa ambacho hakiwezi kunyooshewa kidole cha udini. CUF ilikuwa na nguvu sana, lakini kila mtu aliona kupitia safu yake ya juu kilivyoegemea dini fulani. CDM kilikuwa na nguvu, na hata leo kina nguvu...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Khamis Hamza Khamis ametoa rai kwa viongozi na Taasisi za Kidini Nchini kushiriki ipasavyo kuhimiza utunzaji wa mazingira ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza.
Naibu Waziri ametasema hayo Septemba 30, 2023 Ilala, Jijini Dar es...
Waislamu waingiwa wasiwasi na Serikali baada ya kuona Tayaar mtaala wa ELIMU ya dini katika website ya serikali na somo hilo kuanza kutumika Mwakani wakati wazir wa ELIMU alikwisha waahidi na kuwaomba radhi serikali itawashirikisha lakin Sasa Kuna DALILI zote za kutoswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.