Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu.

Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ?

Ni kwamba nje ya kuwatumisha kwenye kazi za nguvu na kutumia viongozi wao kukusanya kodi hawakuwa na potential, mkoloni aliogopa wingi wao, au ni sababu ipi hasa ?

Hii ni baadhi ya mifano ya jamii zilizotumika na wakoloni

Wachaga walihusishwa kwenye Elimu, Dini, Utawala na biashara hasa kwenye cash crops.

Wahaya walihusishwa kwenye Dini na elimu kwa lengo la kumsaidia mkoloni kazi za ofisini *civil service

Wanyakyusa walihusishwa na elimu, kilimo na uenezaji wa dini hasa Moravian na Lutheran. Lakini kuanzia 1980s, makanisa ya kilokole yenye mizizi ya Zambia na Malawi yalienea zaidi.

Wakuria waliwekwa kuwa askari wa jeshi na vikosi vya usalama sababu ya ujasiri, discipline na miili

Wahehe na wangoni walitumika kama waajiriwa wa jeshi na walinzi wa kati, pia walihusishwa kwenye dini hasa Roma na Anglikana
 
Wasukuma wanaakili, wangepewq Elimu wangetawala maisha yote
Hapo ndipo mnapokosea mnapoweka majivuno bila facts.

Rough estimation ya wasukuma wapo milioni 10 lakini kielimu hawaingii hata top 3 licha ya kuwa kabila kubwa zaidi.

Ni shule gani hata moja huko usukumani imewahi kukimbiza kitaifa ?
 
Rough estimation ya wasukuma wapo milioni 10 lakini kielimu hawaingii hata top 3 liccha ya kuwa kabila kubwa zaidi.

Ni shule gani hata moja huko usukumani imewahi kukimbiza kitaifa ?
Namaanisha wakoloni ndio wameandaa setup ya nchi zetu. Kama mleta mada Kuna waliopewa Elimu. Kama kipaumbele cha mkoloni kingekuwa ni kuwapendelea wasukuma Elimu, wale jamaa ni bright sana wangetawala Tanzania milele.

Elimu usukumani kimekuja kama KITU kigeni ndio maana Kuna vita kubwa vijijini kati ya watoa Elimu na wazazi wa wanafunzi.
 
Wasukuma ni wasomi/wana akili njema?Hebu tuwekee orodha ya mikoa inavyofanya vema kielimu.
 
Kwanza naweza kukubaliana na wewe wakoloni kuendeleza makabila flani imechangia sana kwenye setup ya nchi hata baada ya uhuru japo kuna jitihada zinazoendelea kufanikiwa kuweka balance.

Lakini ni miaka zaidi ya 60 imepita tukiwa huru na shule zipo kibao usukumani, kwanini hatuwaoni hao wasukuma bright au shule za huko usukumani kwenye matokeo ya Necta ?
 
Wasukuma ni wasomi/wana akili njema?Hebu tuwekee orodha ya mikoa inavyofanya vema kielimu.
Maada imeletwa kuangalia chanzo lakini inashangaza watu wanaanza kujisifia bila facts.

ingefaa tujadili chanzo maybe mkoloni alikuwa na sababu zake nyingine za kimkakati
 
Hapo ndipo mnapokosea mnapoweka majivuno bila facts.

Rough estimation ya wasukuma wapo milioni 10 lakini kielimu hawaingii hata top 3 licha ya kuwa kabila kubwa zaidi.

Ni shule gani hata moja huko usukumani imewahi kukimbiza kitaifa ?
Waja boys japo mimi sio msukuma
 
Hapo ndipo mnapokosea mnapoweka majivuno bila facts.

Rough estimation ya wasukuma wapo milioni 10 lakini kielimu hawaingii hata top 3 licha ya kuwa kabila kubwa zaidi.

Ni shule gani hata moja huko usukumani imewahi kukimbiza kitaifa ?
Huna unalolijua. Miaka yote Tabora boys ilikuwa na idadi kubwa ya wasukuma na ilifanya vizuri miaka na miaka(Hili nimelishuhudia mwenyewe, usiniulize takwimu nimetoa wapi). Pia Tabora girls. Japokuwa hao wasukuma wawawezi kushindana na wakina Mwaisa, ndio wenye akili zaidi.
 
Na Kina Mwaisa wapo nyuma ya kina Mangi na Nshomile
 
Wakina Mwaisa achana nao wewe. Mwamposa, Mwakipesile, Mwakasege, Nabii mkuu wanawachukulia pesa wachaga kijinga, pia wameshawahi kuwaua kwa kukanyagana kukanyaga mafuta. Wana akili wakina Mwaisa.
 
Waja boys alishaingia hadi top ten miaka kadhaa nyuma kiongozi
Hio shule naijua wanafanya vizuri Geita na kanda ya ziwa, kuna mwaka waliwahi kuingia top 10

wajitahidi iwe ni mara kwa mara sio "waliwahi"

kwa mwaka jana hata top 20 hawakuingia
 
Back
Top Bottom