Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

Hii nchi bila wanaume mahiri kutoka kanda ya ziwa mtachezewa sana.shauri zenu,leteni dharau tu.
 
Wakina Mwaisa achana nao wewe. Mwamposa, Mwakipesile, Mwakasege, Nabii mkuu wanawachukulia pesa wachaga kijinga, pia wameshawahi kuwaua kwa kukanyagana kukanyaga mafuta. Wana akili wakina Mwaisa.
Unapozungumzia makanisa makubwa ngazi ya dunia ni Roma na Lutheran yaliyojaa Kilimanjaro, Iringa na Kagera.

Kwa Mbeya makanisa makubwa ni Moravian na makanisa ya walokole ambayo mengi ni ya kifamilia.

Kwenye makanisa ya kilokole kina Mwaisa wameshikilia vilivyo, hili halipingiki !, Mbeya ndio inaongoza kwa makanisa mengi Afrika na kutoa wachungaji wengi wa kilokole.

Lakini bado najiuliza, Wasukuma walishindwa kukamata hata makanisa ?
 
Hio shule naijua wanafanya vizuri Geita na kanda ya ziwa, kuna mwaka waliwahi kuingia top 10

wajitahidi iwe ni mara kwa mara sio "waliwahi"

kwa mwaka jana hata top 20 hawakuingia
Kwani siku hizi bado wizara wanatangaza shule kama zamani
 
Nileteeni gwajima
Nileteeeeeni gwajiiima
Nasema nileteeeeeeeeni gwaaaaaaaajima.
 
Nafikiri, wasukuma ni kati yakabila gumu kuwa badilisha mila na tamaduni zao kwa wakati huo ,hivyo ilikua ni ngumu wao kupata kipaumbele kwenye serikali ya kikoloni kwa wakati huo ,kama walivyo wamasai.
 
Yes, naamini ni moja ya sababu hawakuwa wepesi kuacha tamaduni zao, nainawezekana wao ndio walikuwa target ya kwanza ila mkoloni akakata tamaa
 
Robert Kaswende, David Makwaia, P Ng'wandu, ... ni wazilankende wenzio?

Btw, mkoloni hakuweka makazi wala kujenga shule nyingi usukumanishwa na kwa walima kahawa, migomba na chai. Hali hii imeendelea hata baada ya uhuru, shule zimekuwa chache sana hadi pale kulipojengwa shule za kata miaka ya 2000.

Baada ya hapo moto wa wasukuma tunaujua-kwenye elimu, ulinzi, uongozi, biashara n.k.
 
Wanajitahidi, kwa matokeo yao wanaweza kuwa kwenye nafasi nzuri ila kuingia top 10 itawabidi wakaze zaidi
sijajua fact yako ipo wap kuhusu top 10.
1.iyo top 10 ina husu kabila
2.iyo top 10 ina husu mkoa
Ebu njoo vizuri na iyo hoja yako.

unaweza kuta izo top 10 zime be successful with different tribes but not indigenous.
 
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu.

Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ?

Ni kwamba nje ya kuwatumisha kwenye kazi za nguvu na kutumia viongozi wao kukusanya kodi hawakuwa na potential, mkoloni aliogopa wingi wao, au ni sababu ipi hasa ?

Hii ni baadhi ya mifano ya jamii zilizotumika na wakoloni

Wachaga walihusishwa kwenye Elimu, Dini, Utawala na biashara hasa kwenye cash crops.

Wahaya walihusishwa kwenye Dini na elimu kwa lengo la kumsaidia mkoloni kazi za ofisini *civil service

Wanyakyusa walihusishwa na elimu, kilimo na uenezaji wa dini hasa Moravian na Lutheran. Lakini kuanzia 1980s, makanisa ya kilokole yenye mizizi ya Zambia na Malawi yalienea zaidi.

Wakuria waliwekwa kuwa askari wa jeshi na vikosi vya usalama sababu ya ujasiri, discipline na miili

Wahehe na wangoni walitumika kama waajiriwa wa jeshi na walinzi wa kati, pia walihusishwa kwenye dini hasa Roma na Anglikana
Umeandika ujinga katafute kazi ya kufanya uache kuwaza mambo ya kipuuzi. Kiufupi maeneo ya wasukuma hayakuvutia wazungu
 
Wasukuma wanaakili, wangepewq Elimu wangetawala maisha yote
Km we ni msukuma kwa akili hizo umeaibisha kabila lako au umeprove kuwa hawana akili. Ht hivyo ni msukuma yupi ana akili nchi hii, na amefanya nini, acheni ukabila mnajiaibisha zaidi. Usukumani tunakufahamu ni umaskini na ujinga vimetawala hiyo ndiyo akili?
 
Back
Top Bottom