HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Piga kura yako hapa ikiwezekana weka utetezi wako kwaajili ya kuunga mkono kura yako.
Zipi hizo imani za jadi?Nionavyo Bado tunapigwa kwenye mshono na hizi dini za kigeni.
Wali waua ndugu zetu na kuiba Mali nyingi Kisha tunakubali kufuata Imani yao.
Tatizo hakuna kumbukumbu na namna ya kuendeleza Imani zetu za jadi. Majengo yao yangekuwa makazi ya popo
Unajua unaweza ukawa hujui ukataka kujionesha unajua,kama wewe!!Mantiki ni nini?
Mjifunze kujenga hata hoja basi.
Ni imani zote za Kiafrika ambazo hazifungamani na ukristo na uislamZipi hizo imani za jadi?
Fagia sana tu utandike na vitanda vya mapadre na uwafurie nguo na chupi zao ili upate baraka za mbinguniNdo nimetoka kufyegia uwanja wa parokia hapa st Joseph cathedral
Ambaye ni mkristo/muislam?ingekuwa umeambiwa ukate viuno ungeshangilia sana tu!!Mjinga ni mleta uzi
Ttzo liko wapi kwani ?Fagia sana tu utandike na vitanda vya mapadre na uwafurie nguo na chupi zao ili upate baraka za mbinguni
HazipoNi imani zote za Kiafrika ambazo hazifungamani na ukristo na uislam
Mstari gani huo kwenye maandiko kwamba waliua ndugu zetuNionavyo Bado tunapigwa kwenye mshono na hizi dini za kigeni.
Wali waua ndugu zetu na kuiba Mali nyingi Kisha tunakubali kufuata Imani yao.
Tatizo hakuna kumbukumbu na namna ya kuendeleza Imani zetu za jadi. Majengo yao yangekuwa makazi ya popo