Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Sabato Njema!

Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.

Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.

Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.

Tunafuatilia!
 
wakati CHAUMA na vyama vingine kibao tu vipo na vitaendelea kuwepo bila ruzuku tangu kuanzishwa kwao.

what is chadema gentleman kwenye hilo? :NoGodNo:
 
😆😆

Gentleman tunazungumzia nguvu ya chadema isiyo na ruzuku.

Hakuna chama cha upinzani nchi hii kilichowahi kuwa na nguvu Nchi nzima zaidi ya Chadema.

Chadema imefanya mapinduzi makubwa kisiasa baada ya kutoka kuwa chama cha kanda ya kaskazini mpaka kuwa cha kitaifa
 
unapotosha wadau wa JF wazi wazi bila kificho gentleman,

nccr mageuzi na CUF vilikua na nguvu zaidi ya chadema nchi nzima :NoGodNo:
 
Sabato Njema!

Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.

Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.

Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.

Tunafuatilia!
Kifupi CHADEMA kuna bomu linawasubiri kulipuka wakati wowote

CHADEMA ya Mbowe haikukomaliwa sana kuhojiwa na wana Chadema sababu team Mbowe walikuwa na pesa wakifanya mambo makubwa kuliko Ruzuku

Sasa kivumbi CHADEMA kimeshikwa na maskini na wanaambiwa wachangie tonetone kuendesha Chama
Lisu,Heche na Lema wajiandae siku wakikamaliwa na hao maskini watoe detailed report ya kilichopatikana na kutumika kwa undani sio ju ju ju tu ooh zimetumika kwenye kampeni ya no reform no election. Hatakubali jibu rahisi kama hilo

Wajiandae CHADEMA kuvunjika na wao waweza jikuta mahakamani

Ogopa sana kuchangisha maskini.Ndio maana Mbowe alikuwa akichqngisha matajiri wenzie tu

Hizo pesa za tonetone zitawatokea puani

Ruzuku maskini CHADEMA walikuwa hawahoji sababu hazitoki mifukoni mwao .Hivyo kutokuwa na maumivu na uchungu sana kumhoji Mbowe

Uko sahihi mleta mada Chama kuishi kwa kukosa Ruzuku kuna shida kubwa

Na hiyo shida itaikuta CHADEMA sio muda mrefu sana pesa za tonetone lazima watazitapika
 
Chadema walipigwa stop tangu 2016 hadi 2022.

Hapo vipi?

Hawakupata ruzuku hadi 2022 october
 
Back
Top Bottom