Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

Tuko mlangoni tunadondosha punje za mahindi, tuone kama kuku watakubali kufa njaa
 
Chadema inapendwa na wengi na wako tiyari kukichangia chama maana ndicho chama kinachotetea maskini na kupinga ubadhilifu na rushwa serikalini,kitu ambacho Viongozi wakuu wa serikali wameshindwa kabisa kutetea maskini, kwa hili Magufuli alijitahidi sana kukemea rushwa na ubadhilifu wa mali za Umma,
Juuzi nimeona mtandaoni budget ya kuwaaga madiwani wa halmashauri ya Kinondoni ni 20M inapigwa ndani ya masaa 3,
 
Chadema ni imani tokea muda tu. Imagine waliondoka akina Zitto, Slaa, Nassari, Selasini n.k lakini chama hakikufa. Sasa inaonekana Mbowe kaenda na anaondoka na vidagaa vyake sijui mwenyekiti wa mkoa sijui kanda.

Chadema is already imprinted into the hearts of the Tanzanians. Sio chama cha siasa tu bali ni imani ya watu wenye kupenda haki na maendeleo.

Ndio maana hata wamemuweka Lissu ndani lakini ndio kwanza chama kinazidi kupata umaarufu.

Chadema ni kama maji, usipoyanywa utayaoga tu na kila mtanzania kuna siku atakubali.
 
Ilisurvive miaka 10 ya jiwe itakua hii michache Kiongozi?
 
Sabato Njema!

Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.

Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.

Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.

Tunafuatilia!
Samia na ccm bila ya serikali ya mseto atoboi hiyo miaka mitano ...na serikali ya mseto kipindi icho upinzani ni chadema tu maana vyama vingine vyote vimesha jipambanua kuwa ni matasi ya ccm
 
Samia na ccm bila ya serikali ya mseto atoboi hiyo miaka mitano ...na serikali ya mseto kipindi icho upinzani ni chadema tu maana vyama vingine vyote vimesha jipambanua kuwa ni matasi ya ccm

Sio kwa Watanzania Mkuu
 
Chadema inasapotia na watu. Wenye upeo mzuri. So I ta survive miaka buku

Naona inapitia mitihani baada ya mitihani.

Mtihani wa kuua, kuteka na kutishia wamefaulu.
Mitihani ya kununuliwa baadhi ya wanachama wamefaulu.
Mtihani wa kesi na kuwekwa korokoroni wamefaulu.

Sasa wapo kwenye mtihani mwingine
 
Chadema ni imani tokea muda tu. Imagine waliondoka akina Zitto, Slaa, Nassari, Selasini n.k lakini chama hakikufa. Sasa inaonekana Mbowe kaenda na anaondoka na vidagaa vyake sijui mwenyekiti wa mkoa sijui kanda.

Chadema is already imprinted into the hearts of the Tanzanians. Sio chama cha siasa tu bali ni imani ya watu wenye kupenda haki na maendeleo.

Ndio maana hata wamemuweka Lissu ndani lakini ndio kwanza chama kinazidi kupata umaarufu.

Chadema ni kama maji, usipoyanywa utayaoga tu na kila mtanzania kuna siku atakubali.

Hatari sana
 
Back
Top Bottom