Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #41
Tuko mlangoni tunadondosha punje za mahindi, tuone kama kuku watakubali kufa njaa
Kwenye imani wapo watashinda jaribu.
Ila wale maslahi hawataweza
Tuko mlangoni tunadondosha punje za mahindi, tuone kama kuku watakubali kufa njaa
Iliko kuwa imefikia zanzibar ndiyo na sisi tunafikia au tumeshafikia ...ccm imeshajua kuwa imekataliwa kikamilifu na wananchi....hivyo piga ua kete pekee kwa samia ni kujaribu serikali ya mseto...ili kuendelea kuvuta muda wa kufisidi nchi...Zanzibar kisiasa no tofauti kabisa na Bara.
Ccm hawana uwezo wa kumjua adui yao. Hii ndo walimdanganya Magu .Naona inapitia mitihani baada ya mitihani.
Mtihani wa kuua, kuteka na kutishia wamefaulu.
Mitihani ya kununuliwa baadhi ya wanachama wamefaulu.
Mtihani wa kesi na kuwekwa korokoroni wamefaulu.
Sasa wapo kwenye mtihani mwingine
Ruzuku? Vuta kumbukumbu zako sawasawaLakini kulikuwa na ruzuku.
CHADEMA walilipwa ruzuku mwaka juzi Tu usisahau hiloImani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.
Mwekiti wa chadema Taifa halipwi mshahara na chama chake?!Wanapata mishahara kutoka wapi na wakati wote hawana ajira?
No election ! Stop dreamingSabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.
Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.
Tunafuatilia!
No election ! Stop dreaming
CHADEMA walilipwa ruzuku mwaka juzi Tu usisahau hilo
NO REFORMS NO ELECTIONSabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.
Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.
Tunafuatilia!
Kwa mapenzi yetu tutawachangia bila kuombwa,siyo ruzuku inakuwa kama rushwa huku mnaburuzwa na tume isiyokuwa huru katika uchaguziSabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.
Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.
Tunafuatilia!
They will need guiding principles which is SMART goals settings and accountabilitySabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.
Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.
Tunafuatilia!
Ninachojua mimi na kwa utaratibu wa vyama vya kisiasa vingi, Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti HAWALIPWI mishahara. Katibu Mkuu kwakuwa ni "mtendaji" wa shughuli za kila siku za chama ndio analipwa. Kama Chadema wanawalipa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ni sawa. Sio lazima wafuate utaratibu wa vyama vingine.Mwekiti wa chadema Taifa halipwi mshahara na chama chake?!
Makamu mwenyekiti halipwi mshahara na chama chake!?
Katibu mkuu wa chadema halipwi na chama chake!?
Nashangaa
Na imani endapo wataweka ukaribu na wananchi, chama kita survive na kuwa tishio kubwa sana kwa watawala
Uliona mbali.Vishu Mtata
Nafikiri uliniitia hii