Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #61
Uliona mbali.
Wala sikuona ila ndio kete iliyokuwa inasubiriwa. Siasa ni kama Draft
Uliona mbali.
Chadema itakwepo Sana chauma mwisho desemba2025Tuko mlangoni tunadondosha punje za mahindi, tuone kama kuku watakubali kufa njaa
Umeweza kama mimiChadema huendeshwa na fedha za makundi ndani ya CCM 🐼
Chadema itakwepo Sana chauma mwisho desemba2025
ExactlyVishu Mtata
Nafikiri uliniitia hii
CHADEMA saivi ni Imani ya KIITIKADI ..YAAAAN NI KAMA DHEHEBU LENYE WABATIZWA NA WALA KIMUNYO. CHADEMA NAIFAHAMU TANGU 2005, NIMEIFUATAILIA MPAKA LEO, NAJUA HARAKATI ZAKE, MKE NA WATOTO NI CHADEMA,KIZAZI CHA MWAKA 1995, WANAIJUA CHADEMA, KIZAZ CHA MWAKA 2000 WANAIJUA CHADEMA, SO NI IMANI AMBAYO WATU WANAUSHI NAYO NA WATAICHANGIA , TUTAICHANGIA , NINAICHANGIA KAMA NINAVYOICHANGIA CCM, MAAANA NIKIINGIA UWANJANI KUANGALIA MPIRA MBEYA NALIPA, NIKIONA CCM KIRUMBA NACHANGIA, NIKIWA JAHURI DODOMA NALIAPA..PESA ZOTE HIZO NI ZA CCM.😆😆
Gentleman tunazungumzia nguvu ya chadema isiyo na ruzuku.
Hakuna chama cha upinzani nchi hii kilichowahi kuwa na nguvu Nchi nzima zaidi ya Chadema.
Chadema imefanya mapinduzi makubwa kisiasa baada ya kutoka kuwa chama cha kanda ya kaskazini mpaka kuwa cha kitaifa
Wataua wangapi kama mpaka Sasa wananchi Zaid ya miloni 10 wameichangia?Kitakachofata ni kuumiza hao ambayo watajitolea kuiendesha chadema kwa kutumia hiyo Imani yao kwa chadema. Ni kutekwa na kuuwawa. Tunza hii
CHADEMA saivi ni Imani ya KIITIKADI ..YAAAAN NI KAMA DHEHEBU LENYE WABATIZWA NA WALA KIMUNYO. CHADEMA NAIFAHAMU TANGU 2005, NIMEIFUATAILIA MPAKA LEO, NAJUA HARAKATI ZAKE, MKE NA WATOTO NI CHADEMA,KIZAZI CHA MWAKA 1995, WANAIJUA CHADEMA, KIZAZ CHA MWAKA 2000 WANAIJUA CHADEMA, SO NI IMANI AMBAYO WATU WANAUSHI NAYO NA WATAICHANGIA , TUTAICHANGIA , NINAICHANGIA KAMA NINAVYOICHANGIA CCM, MAAANA NIKIINGIA UWANJANI KUANGALIA MPIRA MBEYA NALIPA, NIKIONA CCM KIRUMBA NACHANGIA, NIKIWA JAHURI DODOMA NALIAPA..PESA ZOTE HIZO NI ZA CCM.
Hawana akili ya kufikilia hill. Wangekuwa wanafikilia hilo wasingefikia kuuwa watu zaidi ya 83 Mpaka sasa.Wataua wangapi kama mpaka Sasa wananchi Zaid ya miloni 10 wameichangia?