GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Jana kuliripotiwa kutekwa kwa Mchunhaji mmoja jijini Arusha, .Mwl Steven Jacob na kisha kuja kupatikana baadaye kule West Kilimanjaro.
Tukio hilo likenifikirisha, na kunifanya niutengue msimao niliokuwa nao siku za nyuma kuhusu ulinzi wa viongozi wa dini kama Wachungaji, n.k.
Kabla ya hapo, nilikuwa siuoni umuhimu wa hilo. Lakini tukio la Jana limenifanya niutengue msimamo wangu. Hata viongozi wa dini nao wanahitaji kuwa na mboardguard. Naamini, kama Mch. Steven Jacob angekuwa na mboardguard, ingewawia vigumu kwa watekaji kutimiza azma yao.
Nafikiri, watu kama akina ASKOFU BENSON BAGONZA, ASKOFU NIWEMUGIZI, PADRRI CHARLES KITIMA, MCH. MBARIKIWA MWAKIPESILE, ASKOFU MAPINDUZI, SHEHE PONDA, ASKOFU MWAMAKULA, NABII DENNIS, n.k. wanapaswa kuwa na walinzi kila waendako.
Huo ndiyo mtazamo wangu!