MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Tarehe 26-May ni siku ambayo Wayahudi wanasherekea kuukomboa mji wa Yerusalem Mashariki ya kati, Wale wayahudi wenye itikadi kali hutumia siku hii kupita katika Nyumba, maduka ya Waarabu na kuwadhihaki na kuwafanyia fujo.
Tazama video na Picha hapo chini
View: https://x.com/nirhasson/status/1927050244379828698
View: https://x.com/nirhasson/status/1927054607949119680
View: https://x.com/nirhasson/status/1927027279873413499
View: https://x.com/nirhasson/status/1927025409427681347
View: https://x.com/nirhasson/status/1926988712199544851
View: https://x.com/nirhasson/status/1926966975923621981
View: https://x.com/nirhasson/status/1926967351410352285
Hawa watu ukiwavalisha suti bila hizo kofia wala hizo nywele pamoja na ndugu zao wa Palestina, Yemen, Iraq, Lebanon na Jordan huwezi ukawatofautisha tena wanaonekana wana ukaribu wa damu na DNA kuliko FaizaFoxy na Ritz alivyo na wao. Lakini kwa Bahati mbaya Dini zao zimefanya kuwa watu wa aina mbili tofauti wasioheshimiana hata kidogo