dini

  1. Z

    Taasisi ya elimu ya juu imeanzisha chama cha kusaidiana kufuata dini ndani ya Ofisi ya serikali

    Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa dini zingine. Nimeona ushahidi kupitia kumbukumbu ya malipo ya mishahara (salary slip) ya mmoja wa...
  2. Mafundisho ya Uislamu kuhusu uhuru wa dini

    Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani: - Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah): Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unaheshimu haki ya mtu binafsi kuchagua dini yake, na hakuna mtu anapaswa...
  3. Kama sio wakoloni (wazungu) na dini walizoleta Afrika tungekuwanyuma sana

    Ukiangalia kasi ya maendeleo kwa maeneo qmbayo yalifikiwa na wakoloni iko kasi kuliko kule ambako hapakufikiwa. Wanjanja wengi ni matokeo ya kuanzishwa kwa shule na elimu za kikoloni. Kuna vijiji ilikuwa mtu akinunua hata kioo tu anarogwa na kufa kwa wivu. Kuna mambo ya maana mtu alikuwa...
  4. Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
  5. Kwanini dini hizi UYAHUDI, UKRISTO na UISLAMU zinatofautiana siku ya kusali wakati chimbuko lao Moja (Abrahamic Religions)

    Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu. Leo nitazungumzia kwa nini siku za Kuabudu utofautiana katika kila Dini na nitajikita zaidi kwenye Dini zenye chimbuko la Ibrahimu au...
  6. Hii si tulidanganywa na vitabu hasa wale wa dini ya haki

    Ok mm hapa ni mzigua sasa kuna kitambu kinaniambia ety nikifa mungu atanihojii kiarabu kwaiyoo huyoo mungu hajuii kama mm sijuii kiarabu na huyoo mungu kweli atakuwa yuko sawa akamuhoji mtuu na lugha amabayoo sio yake mnajuaa dini hii ikojeee
  7. Mambo 12 yanayothibitisha kuwa Mungu aliumbwa na dini

    Moja, haonekani. Pili, anatetewa na binadamu. Tatu, hakuna ushahidi wa kisayansi. Nne, anaenezwa kwa imani na vitisho siyo ufahamu. Tano, wanaomhubiri wanatofautiana na kuchukiana. Sita, anapewa sifa nyingi kuliko zinazojulikana. Mfano, mtu anasema utoe sadaka ili Mungu akubariki. Saba...
  8. Dini kama janga linalofukarisha wasiotaka kushtuka, kujifunza, kubadilika, kubuni , na kuchapa kazi

    Japo dini ni hazina tofauti na uganga wa kienyeji, upiga ramli, na utapeli, ni wachache wanaoelewa hivi. Hebu angalia namna dini zinavyotufanya waswahili tuwe maskini tukitajirisha wale waliozileta. Mosi, zina mfumo wa kuwatoa waumini kodi kwa njia haramu kama vile fungu la kumi, michango...
  9. Majadiliano ya Dini yanayokuja Tanzania hayana mashiko.

    Majadiliano ya kidini baina ya wafuasi wa dini mbalimbali yamekuwa yakijadiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Wengine wanaamini kuwa haya majadiliano ni muhimu kwa kukuza uelewa, uvumilivu na amani kati ya watu wa dini tofauti. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa majadiliano haya yanaweza...
  10. Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini. Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata...
  11. Tatizo la dini ni waumini wake kujikita kwenye mambo mepesi na kuacha mazito yanayogusa binadamu wenzao

    Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka. Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
  12. Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  13. Naomba majibu tafadhali watu waminio dini hizi 2 yan ukristo na uislamu

    Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni...
  14. I

    Waga tunasema waarabu ni watu wabaya sana na tena wanafiki wakubwa wanaotumia dini kama kichaka cha kujifichia.

    "Nilibakwa na majambazi wa Assad - lakini siogopi tena kuonyesha uso wangu". **************************************** https://www.bbc.com/news/articles/c89xgdyk597o
  15. Hii ndio maana ya dini niliyojifunza mwaka huu

    Dini ni uhusiano wa karibu sana kati ya Mtu na mwenyezi Mungu bila kuwepo na kitu chpchote kati yako na Mungu. Uhusiano huu ndio aliokuwa nao Adam baada ya kuumbwa. Hakukuwa na Mchungaji siku hiyo wala shehe. Hakukuwa na Baba wala Mama Hakukuwa na Serikali Hakukuwa na marafiki. Hawa wote...
  16. Ni jambo la hatari sana kuwa waimbaji wa dini wajenzi huru

    Kuna video moja nimeona ambayo mchungaji mmoja simjui akimzungumzia swala la muimbaji wa injili matha na Joan kuwafuma wakifanya usagaji yeye matha alikiri kuwa ni kweli ni walikuwa kwenye mapenzi Mchungaji alitumia neno "tuliwafuma live" inawezekana jirani walisikia sauti za mahaba ikabidi...
  17. Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

    Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu! Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote Yana hubiri uzima wa milele baada ya kifo hii hata Mimi naamini kuwa Kuna maisha baada ya kifo/ufufuo...
  18. Thamani mojawapo kuu ya dini ni tumaini la faraja angalau baada ya maisha mateso ya hapa duniani

    Kuna watu wanateseka sana kwenye hii dunia, wengine wanateseka tangu wanazaliwa mpaka wanakufa, wengine wanateseka nusu ya maisha yao yote n.k Fikiria watu wanaugua kansa za kila aina, watu wanapata ajali wanabaki vilema wasiojiweza maisha yao yote, watu wanafungwa maisha au miaka mingi pasipo...
  19. Huwezi Pinga Kuwa Dini (madhehebu yote) yamegeuka kuwa biashara zinangonya waumini. Kama una hoja utasikilizwa na kujibiwa

    Nipo tiyari kukosolewa lakini Kwa uthibitisho tu na sio mbwembwe zingine. Kwanza hakuna kwenye biblia sehemu yoyote Ile watu walifanya harambee ya kumnunulia mtume ama nabii punda ama farasi Kwa Wakati huo maana hapakuwa na magari Wala pikipiki. Hivyo usafiri wao ulikuwa Punda,Ngamia au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…