Dini zote ni utapeli tu, ukristu uliletwa na wakristu kutoka Ulaya na wale wakujiita wamisionari, the same to Muslim under Arabs.
Ukristu ni utamaduni wa kigeni kutoka Ulaya, na Islam ni tamaduni mpya kutoka Kwa waarabu, lengo la kuja Hawa wahuni afrika, ni kuchukua Malighafi, watumwa na mambo...