Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Herrieth Ngonde, amedai kushambuliwa kwa kupigwa na Diwani wa Kata hiyo Frank Mwananziche wakiwa katika kikao cha kawaida kujadili maendeleo ya chama.
Akizungumza na Waandishi wa habari Herieth amesema Diwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.