PreGE2025 Diwani kata ya Mlali, Mvomero adaiwa kumpiga Katibu CCM kikaoni. Wamefikwa na wao sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Herrieth Ngonde, amedai kushambuliwa kwa kupigwa na Diwani wa Kata hiyo Frank Mwananziche wakiwa katika kikao cha kawaida kujadili maendeleo ya chama.

Akizungumza na Waandishi wa habari Herieth amesema Diwani huyo amemshambuliwa baada ya kutokea mabishano katika kikao.

Kitenge imemtafuta kwa njia ya simu Diwani wa kata ya Mlali Frank Mwananziche anayedaiwa kufanya tukio hilo amesema suala hilo hawezi kuzungunzia kwani linashughulikiwa kichama hivyo atafutwe Katibu wa CCM Wilaya ya Mvomero.
 
😅😅😅No reform no election
 
Guluguja Amos Makalla mbona hajaenda kumuona huyu mama aliyebondwa na diwani na kumsafirisha kwenda Dodoma kutibiwa?
 
Back
Top Bottom