dkt. ally possi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ally Possi wakili mkuu wa serikali, heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa

    Salaam Wakuu, Leo natumia Wasaa kumpoongeza Mtu muhimu sana Nchini Tanzania. Msomi asiye na Majivuno wala kufanya kazi kwa Mihemko. Dkt Possi, nakutakia kumbukizi njema ya siku yako ya kuzaliwa.. Ikawe ya Baraka. Mungu azidi kukupa nguvu ya kuwatumikia watanzania wote kama kawaida yako...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dkt. Possi: Menejimenti shirikianeni, tuishauri serikali kuhusu uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi

    Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) wametakiwa kushirikiana kwa pamoja katika kutekeleza majukumu yao kwa wakati ili kufikia malengo waliyojiwekea ndani ya muda uliopangwa. Wito huo umetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi wakati wa kikao chake cha...
Back
Top Bottom