figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam Wakuu,
Leo natumia Wasaa kumpoongeza Mtu muhimu sana Nchini Tanzania. Msomi asiye na Majivuno wala kufanya kazi kwa Mihemko.
Dkt Possi, nakutakia kumbukizi njema ya siku yako ya kuzaliwa.. Ikawe ya Baraka.
Mungu azidi kukupa nguvu ya kuwatumikia watanzania wote kama kawaida yako.
Happy birthday Mkuu..
Dkt. Ally Possi ni Wakili Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye aliteuliwa kushika wadhifa huo mwezi Agosti
2024.
Wasifu wa Kina wa Dkt. Ally Possi
Wadhifa wa Sasa: Wakili Mkuu wa Serikali (Solicitor General).
Wadhifa wa awali: Kabla ya uteuzi huo, alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Uchukuzi.
Elimu:
Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Erlangen-Nuremberg, Ujerumani.
Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M.) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Shahada ya Kwanza ya Sheria (LL.B.) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Uzoefu wa Kazi:
Amewahi kufanya kazi kama mhadhiri wa sheria katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Pia alikuwa mkufunzi katika Taasisi ya Tawala za Mahakama (IJA) Lushoto.
• Ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Kazi zake za kitaaluma na machapisho mengi yamejikita katika sheria za kimataifa, sheria za Afrika Mashariki, na haki za binadamu, hususan masuala ya watu wenye ulemavu.
HUYU MSOMI WA TANZANIA, WATU WENGI WAMEKUWA WAKIMCHANYA NA KUSHINDWA KUMTOFAUTISHA DKT. ABDALLAH POSSI
Kuna Wakili mwingine anayeitwa Dkt. Abdallah Possi, ambaye ni Balozi wa Tanzania na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva na aliyewahi kuwa Naibu Waziri anayeshughulikia watu wenye ulemavu. Licha ya kufanana majina na taaluma ya sheria, wao ni watu wawili tofauti.