Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela walishawahi kuyafanya kaingalie Venezuela inavyoenda sasa.
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.