Muhimu: Kanisa Katoliki lirudishe zawadi ya Hela Mil 20 lilizopewa na Serikali ili kujali Maumivu ya Dkt Kitima

Muhimu: Kanisa Katoliki lirudishe zawadi ya Hela Mil 20 lilizopewa na Serikali ili kujali Maumivu ya Dkt Kitima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
 
Tunawaomba sana Baraza la Maaskofu Katoliki mrudishe hizo pesa maana CCM ni mashetani kesho watatumia watu kuanza kuwananga kuhusu hizo hela mlizopokea.

Tena tunaomba mseme kuwa mmezirudisha kwa Official Press Release.

Huu ni wakati wa kuwa na misimamo imara ili kulikomboa Taifa letu na Watanzania kwa ujumla ili tujenge Taifa lenye haki na maendeleo ya kweli.
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sanabu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
CHADEMA mkiingia Ikulu hakutakuwa na utawala wa kisheria. Mahakama hazitakuwa na kazi. Mtahukumu watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani na kuwapa nafasi ya kujitetea. Ishu ya Kitima inawafanya mhukumu watu bila kuwa na uhakika wowote. Acheni upuuzi. Kama Kanisa katoliki ni idara ndani ya CHADEMA basi hizo pesa zitarudishwa.
 
Chadema haihusiki na uzi huu
 
Vinginevyo hawateleweka. Inavyoonekana hii vita ya haki inapiganwana maaskofu wachache sana wa katoliki, walio wengi ni walamba asali.

Bado nakumbuka jinsi askofu Kilaine alivyoyafaidi mabilioni ya mfanyabiashara Rugemalira enzi za Kikwete.

Wakatoliki tuungane kuupinga usaliii huu dhidi ya uhai wa Dr. Kitima. Yaani drm Kitima anaumiza na ccm , halafu mwingine apokea hongo hadharani toka kwa watesi wa Dr. Kitima

20M IRUDISHWE.
 
Back
Top Bottom