Muhimu: Kanisa Katoliki lirudishe zawadi ya Hela Mil 20 lilizopewa na Serikali ili kujali Maumivu ya Dkt Kitima

Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Unaanza kujitoa ufahamu,jitahidi kujua kila noti ina picha ya nyoka na ushetani
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Pesa hairudi mamiioo
 
Kwisha kazi!

Kashawafunga midomo tayari. kilichobaki hapo ni kusifia Kila kitu hata km ni kibaya.
Poa tuu milioni ishirini tuu,siasa za sasa ni mwenda wa fitna sabbu sisi tayari ni koloni la Kizmkazi
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Hapana, kanisa haliwezi kufanya kama unavyo elekeza. Kanisa linao viongozi makini sana wanaojuwa njia nzuri za kushughulikia jambo kama hilo. Hawana sababu hata moja ya kufanya hayo hadhalani; kwa faida ya nani?

Hiyo na maneno husika ni mambo ya faragha.

Acha aibu imuhusu huyo mjinga anayefanya mambo ya ajabu sana kama hili la kutoa hela kama malipo ya maumivu anayoyasababisha mwenyewe.

Hakuna sababu ya kuonyesha ushindani wowote mbele ya hadhara.
 
Kama Trump mwenyewe kashakuwa presda na kashfa zake kibao,hii Dunia ina codes nyingi mno.
trump hajaua Mmarekani yeyote; na wala hajamfunga mtu kwa uonevu tu. Hajanyima haki yeyote; na hawezi kufanya hivyo kinyume cha sheria.
Tusianze kupotosha watu kwa kulinganisha mambo yasiyofanana kwa lolote.

Sijui Trump ataanzia wapi kwenda kutoa hongo/rushwa kanisani au kwingine kokote ili kuhadaa wahusika
 
Vinginevyo hawateleweka. Inavyoonekana hii vita ya haki inapiganwana maaskofu wachache sana wa katoliki, walio wengi ni walamba asali.

Bado nakumbuka jinsi askofu Kilaine alivyoyafaidi mabilioni ya mfanyabiashara Rugemalira enzi za Kikwete.

Wakatoliki tuungane kuupinga usaliii huu dhidi ya uhai wa Dr. Kitima. Yaani drm Kitima anaumiza na ccm , halafu mwingine apokea hongo hadharani toka kwa watesi wa Dr. Kitima

20M IRUDISHWE.
Kwa sasa hivi mlaumu aliyeona ni lazima akatoe hiyo hela mbele ya waumini na watu wote kujulishwa. Bila shaka alikuwa na maana yake ya kufanya hivyo. Kwani hiyo pesa isingeweza kutolewa faragha?

Sasa jiulize mwenyewe, na pia namwomba mkuu Erythrocyte na yeye ajiulize; kweli mlitegemea rushwa hiyo ikataliwe hapo hapo mbele ya hao waumini na kadamnasi ya watu?

Maaskofu ni watu makini zaidi ya hivyo.
 
Naunga mkono hoja, Kitime akisikia hii kwake hili litakuwa ni Usaliti
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
...ni mawazo yangu - kwmb inawezkana Dr Mpango ametoa kama m2 binafsi "muumini aloguswa" na xio kama mwakilishi wa xerikali. Kama ndivo, zxirudishwe lkn kama zmetoka xerikalini, warudshiwe rushwa yao. Nijuavo mm, kuna watumishi pia wanokerwa na mauchafu yanoteklezwa na watawala hapa nchini lkn wanaogopa kuuma mikono inayowalisha na hawana njia ...
 
Ingekuwa Kenya hapo sawa. Hawa wa kwetu wote ni angents wa ccm
Ruto alisha rudishiwa laivu!

Lakini makanisa mengine yote wanachukua kila Jumapili anapoyazungukia makanisa hayo..

Huyu mama anaiga sana mambo ya Kenya, na sasa kaamua kuwa Museveni wa Tanzania.
Sijui kama waTanzania nasi tutakuwa kama waganda wasioshtushwa na maonevu kwa viongozi wao wa vyama vya upinzani.
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Hii thread ingependeza ije kwa mfumo wa kupiga kura (jambo hili lipigiwe kuratena za kuhesabika siyo %) ili wahusika waone kwa kiasi gani fedha hiyo haikupaswa kupokelewa
 
Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa
Isitoshe Kanisa halikusema lina changamoto ya mafuta ya kuzungukia mitaa yake, mpaka likaanzisha Jimbo maana yake walisha jipanga kuwa wana uwezo wa kuendesha shughuli zao
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Baraza la maaskofu Tanzania tunawaomba mrudishe hizo pesa zao. Hatutaki kuhongwa, hata kama ni shida wacha tukae nazo.
 
...ni mawazo yangu - kwmb inawezkana Dr Mpango ametoa kama m2 binafsi "muumini aloguswa" na xio kama mwakilishi wa xerikali. Kama ndivo, zxirudishwe lkn kama zmetoka xerikalini, warudshiwe rushwa yao. Nijuavo mm, kuna watumishi pia wanokerwa na mauchafu yanoteklezwa na watawala hapa nchini lkn wanaogopa kuuma mikono inayowalisha na hawana njia ...
Wakati anazitoa amesema zimetoka kw rais
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Kiufupi Kanisa halina shida ya hio pesa kwa sababu muumini mmoja tu anaweza kuitoa hio pesa yote ndani ya misa moja tu.

Ila wanachojaribu kukifanya ni kuupa urais heshima yake ndio maana hata wanavyokosoa hawakosoi kwa kehebi kama wana ccm wanavyowatukana viongozi wa dini kwa matusi
 
Back
Top Bottom