Muhimu: Kanisa Katoliki lirudishe zawadi ya Hela Mil 20 lilizopewa na Serikali ili kujali Maumivu ya Dkt Kitima

Kurudisha hela! Siyo kanisa katoliki. Jamaa wanapenda hela balaa. Sijui kwa nini huwa haziwatoshi
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Naunga mkono hoja
 
Chadema hapa kaingiaje?? Sisi sote ni Watz. Huyo aliyetoa fedha alitoa tuhuma kwa Viongozi wa Dini. Baada ya tuhuma zile Fr C. Kitima akashambuliwa.

Tukisimama kwenye Utu, Haki na Ubinadamu, ukweli ni kwamba katobesha kidonda. Unanivunja mguu wangu kwa makusudi kisha kesho unaniletea magongo ya kutembelea?? Halafu unataka nikusifie eti wewe ni muungwana mwenye utu?? Fedha zirudi zilikotoka.
Mleta uzi ni mwanaCCM? Ukipelekwa mahakamani uthibitishe kuwa aliyetoa fedha ndo kamshambulia Padri utaweza kuthibitisha? Au ndo tutaanza kupost #freeHalaiser?
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Mh umewaza mbaali
 
trump hajaua Mmarekani yeyote; na wala hajamfunga mtu kwa uonevu tu. Hajanyima haki yeyote; na hawezi kufanya hivyo kinyume cha sheria.
Tusianze kupotosha watu kwa kulinganisha mambo yasiyofanana kwa lolote.

Sijui Trump ataanzia wapi kwenda kutoa hongo/rushwa kanisani au kwingine kokote ili kuhadaa wahusika
Sasa tufanyaje
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Hiyo 20 milioni ni rushwa kwa kanisa, ni hongo na mlungura ili kuwapoza Viongozi wa TEC na Kanisa Catholic.

Kama Kanisa Catholic watakubali kuzpokea hzo pesa na kuzitumia whether ni kumtibu Dr. KITIMA au vyovote vile basi KANISA/TEC watakuwa hawana tofauti na JUDAS ISKARIOTE aliye msaliti Bwana Yesu hadi kusulubishwa. Chonde chonde hiyo Hundi irudishwe mara 1 kwa Watuhumiwa haraka sana.
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Mkuu , mambo mengi sana yananipita ,ngoja nimalize mfungo wangu.

Usiku wa leo katika ambayo bado naitafakari.
Nimeota nikiwa na mh lissu, sijawahi kuwa karibu na mh lissu physically ila tu katika maombi.

Akiwa katikati mimi kushoto kwake mlinzi wake mmoja kati ya wa linzi wake kulia ,mbele yetu kulikua na watu sio wengi kama ishirini hivi ,ila akawa anatoa maelekezo flani hivi ya kuwakosoa katika jambo flani ambalo halijaenda sawa ,

Badaa ya mda lipo jambo likatokea yule mlinzi akanipa ishara ya kidole Gumba akiashiria poa , then tukaondoka zetu elekea mahala flani pa heri tu.

Nitarudi baada ya Mfungo Mungu mwemwa siku zote
 
Zimeshaeudishwq
Tunataka kuona Tamko Rasmi la Viongozi wa TEC/CATHOLICS mbele ya media juu ya kukataa na kurudisha hiyo 20m/= Serikalini.
This will send a very strong message to Mama President n' her Government.
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Mtego huo.
 
Mleta uzi ni mwanaCCM? Ukipelekwa mahakamani uthibitishe kuwa aliyetoa fedha ndo kamshambulia Padri utaweza kuthibitisha? Au ndo tutaanza kupost #freeHalaiser?
Soma comment yangu uelewe. Hatutaki kupokea tusichokielewa kinatolewa kwa malengo gani. Tusichanganye siasa na Dini.
 
Mleta uzi ni mwanaCCM? Ukipelekwa mahakamani uthibitishe kuwa aliyetoa fedha ndo kamshambulia Padri utaweza kuthibitisha? Au ndo tutaanza kupost #freeHalaiser?
Hv wewe unajua sheria au unakurupuka? Kwene sheria kuna kitu kinaitwa USHAHIDI WA KIMAZINGIRA(Circumstantial evidence). Hapa haitaji elimu ya kurusha drone kujua nani mhusika wa shambulio la Dr. Kitima.
 
Hakuna ubishi kwamba Rais Samia alitoa angalizo kwa viongoz wa dini waache kuingilia siasa na bila shaka moja ya taasi iliyokuwa inalengwa ni Katoliki.

Ili Kutekeleza angalizo hilo na kwa kuwa pesa zimetoka kwa Samia, basi Kanisa Katolik lirudishe fedha hizo . huwez kupewa 20M kwa ajil ya mafuta, hii ni sawa na rushwa, hii ni hongo.
 
Sasa tufanyaje
Sijui kwa nini unaniuliza swali hili mimi mkuu 'Transisco06'?

Nashukuru tu umetumia neno "tufanyeje", ukiwa na maana sote tuna jukumu la kuibadilisha hali hii mbovu inayo tukabili sasa.
Kwa vile umeomba maoni yangu "tufanyeje"; mimi nitakuwa na maoni rahisi tu, ambayo siyo mapya sana..
Kwanza tuwasihi CCM na uongozi wao na serikali yao waache mara moja kuwaua na kuwaumiza waTanzania kwa kudai HAKI.
Wamekwisha onyesha za kukaza shingo kwa kudhani watabaki madarakani kwa nguvu, ndiyo maana hawataki marekebisho yafanyike sisi wananchi tupate HAKI yetu ya kuwachagua viongozi tunao wataka kwa uhuru wetu; hata kama watabaki kuwa wa (REFORM).

Wakiendelea kukaza shingo na kulazimisha (uchafuzi badala ya Uchaguzi)" hapo Oktoba, tuwakatalie kwa nguvu zote (NO ELECTION)
Mengine yatafuata baada ya hapo.

Hayo ndiyo maoni yangu kwa "Sasa tufanye nini)
 
Ndio maana tumependeka irejeshwe hadharani kam ilivyoletwa
Naelewa mkuu 'Erythro' unachoeleza hapa.
Ruto aliambiwa waziwazi kanisani kuwa pesa yake hawaitaki; jambo ambalo ni jema sana.

Pamoja na kukubaliana nawe, kwetu hapa bado nasita kuchukua njia hiyo.
Mimi nadhani itabidi kanisa sasa liwe na ujasiri hata wa kuwaambia huko faraghani kwamba rushwa za aina hii hazitakiwi kanisani. Kukaa kwao kimya huko faraghani kunawavunjia heshima huku hadharani.

Lakini naomba nikuulize swali. Mtu anapokupa msaada, si ni kawaida na tamaduni zetu kumpa shukrani za msaada huo. Sasa sijui kama hawa walipo pokea hiyo pesa, huyo mpokeaji alisema ASANTE kwa msaada; hata kama ni wa kulazimishwa aupokee.
Kwa bahati mbaya sana, maaskofu wamesahau kuwa kitendo hiki ni cha kuwadhalilisha na kuwadharau pamoja na kanisa lao lote. Nadhani hata wao watakuwa wameliwazia hili jambo.

Nakubaliana na wewe, lakini hata kama siyo kurudisha hiyo pesa hadharani, ingekuwa bora sana kanisa likachukua uamzi wa pamoja wa kuyatolea tamko matendo ya aibu kama haya.

Natumaini umenielewa, mkuu wangu 'Erythro'.
 
Hawawezi kamwe kurudisha hela na itakuwa ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka ya nchi.
 
Tunawaomba sana Baraza la Maaskofu Katoliki mrudishe hizo pesa maana CCM ni mashetani kesho watatumia watu kuanza kuwananga kuhusu hizo hela mlizopokea.

Tena tunaomba mseme kuwa mmezirudisha kwa Official Press Release.

Huu ni wakati wa kuwa na misimamo imara ili kulikomboa Taifa letu na Watanzania kwa ujumla ili tujenge Taifa lenye haki na maendeleo ya kweli.
NA wasipokee sadaka yoyote kuitoka kwa wana CCM .Hahahahahaaa.maana mule kanisani kuna CCM,CHADEMA NK
 
Vinginevyo hawateleweka. Inavyoonekana hii vita ya haki inapiganwana maaskofu wachache sana wa katoliki, walio wengi ni walamba asali.

Bado nakumbuka jinsi askofu Kilaine alivyoyafaidi mabilioni ya mfanyabiashara Rugemalira enzi za Kikwete.

Wakatoliki tuungane kuupinga usaliii huu dhidi ya uhai wa Dr. Kitima. Yaani drm Kitima anaumiza na ccm , halafu mwingine apokea hongo hadharani toka kwa watesi wa Dr. Kitima

20M IRUDISHWE.
NA wasipokee sadaka yoyote kuitoka kwa wana CCM .Hahahahahaaa.maana mule kanisani kuna CCM,CHADEMA NK
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Suubuutuuu ! Wakirudisha hizo hela natembea uchi hadharani !.
Kwanza hata kama kanisa katholic hawana njaa ya hela lakini siku zote pesa ni tamu na hakuna anayesema pesa nilizonazo zimetosha sitaki tena.
Pili kanisa wanajua kuwa pamoja na nguvu na mtandao mpana waliyonayo lakini KUNA UKOMO WA KUITIA SERIKALI MAJARIBUNI wanajua kuwa yaweza fika serikali ikashindwa kuliheshimu kanisa hilo.
Mwisho kabisa ni kwamba kuna taasisi za dini ikiwa pamoja na Catholic church wanapata ruzuku ya pesa nyingi toka serikalini na misamaha ya kodikila mwaka kupitia miradi ya mashule na mahospitali kwahiyo wakikataa hicho kidogo waluchopewa kama namna ya kuonyesha uungwana wanaweza wakanyimwa kile kingi wanachokipata kila mwaka.
HAWARUDISHI PESA NG'O!
 
Back
Top Bottom