Muhimu: Kanisa Katoliki lirudishe zawadi ya Hela Mil 20 lilizopewa na Serikali ili kujali Maumivu ya Dkt Kitima

Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Uko sahihi, hawakujua ni kuwafunga mdomo, siyo hao tu vipo vikanisa kila siku vinapokea bahasha. Yesu atawakataa
 
CHADEMA mkiingia Ikulu hakutakuwa na utawala wa kisheria. Mahakama hazitakuwa na kazi. Mtahukumu watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani na kuwapa nafasi ya kujitetea. Ishu ya Kitima inawafanya mhukumu watu bila kuwa na uhakika wowote. Acheni upuuzi. Kama Kanisa katoliki ni idara ndani ya CHADEMA basi hizo pesa zitarudishwa.
Bahati mbaya habari hii ilinipita. Kumbe ni kweli mlipeleka pesa...
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
I second the motion
 
Zipelekwe kwenye matibabu ya Dk Kitima
 
1746711917584.png
 
CHADEMA mkiingia Ikulu hakutakuwa na utawala wa kisheria. Mahakama hazitakuwa na kazi. Mtahukumu watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani na kuwapa nafasi ya kujitetea. Ishu ya Kitima inawafanya mhukumu watu bila kuwa na uhakika wowote. Acheni upuuzi. Kama Kanisa katoliki ni idara ndani ya CHADEMA basi hizo pesa zitarudishwa.
Hivi we dogo hua unasimamia upande gani?? Mara uuponde utawala wa mama mara uwaponde chadema mara usifie kotekote... sasa wewe ni ke au me?
 
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.

Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.

Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Mara kwa mara humu JF inasemwa kuwa Makardinali, Maaskofu na Mapadre wa Kikatoliki ni wasomi sana na wenye uweledi mkubwa wa kisomi. Siamini kama watafanya maamuzi baada ya kushauriwa na Artificial Intelligence aliyemo JF aitwaye Erythrocyte!
 
Ila wako tayari kuuawa na akina Edward Cosseny!
 
Ahaaa haaaa warudishe ela. Mnajisahulisha kama mkombozi ya kanisa katoliki ndio ilitumika kutakatisha fedha za Escrow
 
Back
Top Bottom