MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
🤣 🤣 🤣Kuna panya flani niliwakutaga Katavi huko, ukilala akikuuma anakupuliza. Ndio CCM hao, wanakuzaba kibao afu wanakupoza.
🤣 🤣 🤣Kuna panya flani niliwakutaga Katavi huko, ukilala akikuuma anakupuliza. Ndio CCM hao, wanakuzaba kibao afu wanakupoza.
Lakini pia kususa si roho ya ki MunguKama unasema huna ugomvi na mtu na unamuonyesha madhaifu ili ajirekebishe akikupa zawadi ukaipokea ni kuna mawili ama kumuonyesha kwamba hamna ugomvi ila hua unamuonyesha madhaifu ili ajirekebishe au umepokea ili sasa hivi uwe huoni madhaifu bali sifa tu.
Naunga mkono hojaHii thread ingependeza ije kwa mfumo wa kupiga kura (jambo hili lipigiwe kuratena za kuhesabika siyo %) ili wahusika waone kwa kiasi gani fedha hiyo haikupaswa kupokelewa
Si rahisiKwisha kazi!
Kashawafunga midomo tayari. kilichobaki hapo ni kusifia Kila kitu hata km ni kibaya.
Ndio maana tumependekeza irejeshwe hadharani kam ilivyoletwaKwa sasa hivi mlaumu aliyeona ni lazima akatoe hiyo hela mbele ya waumini na watu wote kujulishwa. Bila shaka alikuwa na maana yake ya kufanya hivyo. Kwani hiyo pesa isingeweza kutolewa faragha?
Sasa jiulize mwenyewe, na pia namwomba mkuu Erythrocyte na yeye ajiulize; kweli mlitegemea rushwa hiyo ikataliwe hapo hapo mbele ya hao waumini na kadamnasi ya watu?
Maaskofu ni watu makini zaidi ya hivyo.
Pole sana. Huyu mtu hajashambuliwa na Serikali. Issue ya Mtumishi huyu wa Mungu ni kama ya TL. Take it from meKatibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.
Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.
Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
TUSIMAME KWENYE MZANI WA HAKI.Lakini pia kususa si roho ya ki Mungu
AmenMimi ni mkatoliki Kanisa la Mungu likwepe kuchafuka kwa mitego ya kishetani. pesa irudi.Hiki kitamsononesha sana Dr Kitima aliyeumizwa" morally inapplicable" Zawadi kubwa ni kuwapata waliomjeruhi na kuwafikisha mahakamani ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali.
Ndugu yangu siku hizi viongozi wa dini wanathamini na kupenda hela kuliko maelezo. Ushauri huo ni mzuri ila hawawezi kuusikiliza. Jana usiku niliweka uzi kama huu humu nadhani ulifutwaKatibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.
Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.
Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Nakuunga mkono 100 kwa 100!Tunawaomba sana Baraza la Maaskofu Katoliki mrudishe hizo pesa maana CCM ni mashetani kesho watatumia watu kuanza kuwananga kuhusu hizo hela mlizopokea.
Tena tunaomba mseme kuwa mmezirudisha kwa Official Press Release.
Huu ni wakati wa kuwa na misimamo imara ili kulikomboa Taifa letu na Watanzania kwa ujumla ili tujenge Taifa lenye haki na maendeleo ya kweli.
Naunga mkono hoja. Kwa wenzetu Kenya, kanisa liligoma kupokea Offer ya Rais Ruto.Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.
Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.
Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Thubutuuuu.Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.
Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.
Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Chadema hapa kaingiaje?? Sisi sote ni Watz. Huyo aliyetoa fedha alitoa tuhuma kwa Viongozi wa Dini. Baada ya tuhuma zile Fr C. Kitima akashambuliwa.CHADEMA mkiingia Ikulu hakutakuwa na utawala wa kisheria. Mahakama hazitakuwa na kazi. Mtahukumu watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani na kuwapa nafasi ya kujitetea. Ishu ya Kitima inawafanya mhukumu watu bila kuwa na uhakika wowote. Acheni upuuzi. Kama Kanisa katoliki ni idara ndani ya CHADEMA basi hizo pesa zitarudishwa.
Wivu huo.Tunawaomba sana Baraza la Maaskofu Katoliki mrudishe hizo pesa maana CCM ni mashetani kesho watatumia watu kuanza kuwananga kuhusu hizo hela mlizopokea.