dkt. mwigulu nchemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nkerejiwa

    DKT. Mwigulu Nchemba: Kiongozi mwadilifu na nguzo ya maendeleo ya taifa

    Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za wapinzani wake kueneza kampeni chafu dhidi yake, ukweli unabaki palepale—hana doa la ufisadi, hana tuhuma...
  2. L

    Dkt. Mwigulu Nchemba: Nikimposti mwanangu mnasema "kameshiba dola zetu hako"; kanakutana nazo wapi?

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wetu wa Fedha, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Mchumi Daraja la Kwanza nikiwa na maana kuwa alipata First Class katika shahada yake ya kwanza kutoka UDSM .Ufaulu ambao ni wa juu sana na ambao siyo lelemama kuupata hasa kutoka viunga vya UDSM.Na ndio...
  3. S

    Dkt. Mwigulu uliutaka Urais 2015, uwaziri wa fedha ni kipimo tosha cha uwezo wako kiuongozi

    Suala zima la migomo Kariakoo linahusu masuala mazima ya kodi, liliibuka mwaka jana likazimwa kisiasa likaibuka tena mwaka huu na linazimwa kwa mbinu zile zile za kisiasa. Linaacha ukakasi kwa wote wenye kutafakari kila suala kwa kina. Linakuja na kuondoka likiwa na haki kabisa ya kumuondoa...
  4. GENTAMYCINE

    Halafu tukisema pamoja na kuwa na PhD's zenu za Michngo ila bado hamna Akili mnasema tuwatukana na kuwadhalalilisha wakati kiuhalisia mnastahili

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kwa mafanikio ambayo timu ya Yanga imeyapata anatamani kumshauri Gavana wa Benki Kuu (BoT) kuweka nembo ya klabu hiyo kama kungekuwa na noti ya Sh100 kuyaenzi mafanikio hayo. Chanzo: mwanaspoti_tz Sasa kama Mtu mwenye Doctorate anasema Pumba hivi...
  5. R

    Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

    Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa? Baada ya Mwigulu...
  6. B

    Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  7. Replica

    Mwigulu akomalia shs 100 kwenye mafuta, adai yakipanda bei Rais Samia ataweka ruzuku

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tozo ya Tshs 100 kwenye mafuta ni jambo jema kwani inataka kutunisha mifuko ya Serikali katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Mwigulu amesema miradi ya maendeleo ambayo Tanzania inatekeleza hakuna nchini yeyote ukanda wa Afrika wanaotekeleza kwa mara...
  8. J

    Waziri Nchemba: Serikali inaimarisha Utaratibu Bandarini ambapo sasa Wafanyabiashara Wataruhusiwa Kutoa Mizigo baada ya Kulipa kodi Isiyobishaniwa

    Waziri wa Fedha Dr Mwigulu PhD amesema wataweka Utaratibu pale Bandarini ambapo Wafanyabiashara wenye mapingamizi ya Kodi Wataruhusiwa Kutoa Mizigo baada ya Kulipa kodi Isiyobishaniwa. Mwigulu amesema hatua hii inakusudia kuokoa bidhaa ambazo zinaweza Kuoza wakati wa kusubiri suluhisho la...
  9. Suley2019

    Dkt. Mwigulu: Bado tupo Uchumi wa Kati

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba Tanzania bado imeendelea kuwa Nchi ya uchumi wa kati ngazi ya...
  10. HIMARS

    Dkt. Mwigulu: Deni la Taifa limeongezeka hadi Tsh. Trilioni 79.19, bado ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dododma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba hadi kufikia mwezi Aprili 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi...
  11. Roving Journalist

    Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  12. Mohamed Ismail

    Mwigulu ni almasi ya Tanzania

    Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC. Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali Watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu. Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU. "Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni...
  13. Billal Saadat

    Mwigulu unaona TRA wakicheza na uchumi wetu?

    Walianza NEMC sasa ni zamu ya TRA kumgombanisha Rais na wananchi wake anaowapenda. Ni ukweli usiopingika kuna Taasisi zinamuingiza Mhe. Rais katika mtego na wananchi kadiri siku zinavyokwenda, waliaanza NEMC na sasa ni zamu ya Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA). Wizara ya fedha na biashara...
  14. ChoiceVariable

    Bashe usitetereke kama Mwigulu, Januari na Nape. Wamekuona tishio kwenye malengo yao ya Siasa ndio maana wamekushikia bango

    Natoka tahadhari Kwa Bashe, Waliokuwhikia Bango Kwa hoja za kizushi na upuuzi ndio hao hao waliokuwa wamemshikia Bango Mwigulu, January na Nape. Sasa wanaona kabisa unaenda kuwa threats Kwa ambions zao za Kisiasa Kwa vile una deal na sekta ambayo inakufanya kukutana na kucheza na maslahi ya...
  15. S

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba anasema na kutenda

    MFUMUKO MDOGO WA BEI TANZANIA (LOW INFLATION RATE IN TANZANIA 2023) Tanzania ni kati ya nchi chache Barani Africa zenye mfumuko mdogo wa bei ukilinganisha na nchi nyingine nyingi zenye mfumuko mkubwa wa bei kuanzia 5.0% mpaka 87.6%. mfano (Rwanda 30.3% & Zimbabwe 87.6%) Katika ripoti...
  16. ChoiceVariable

    Dkt. Mwigulu Nchemba: Serikali imezalisha ajira zaidi ya laki tano mwaka 2022/2023

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali Imezalisha Ajira 547,600 Kwa mwaka kipindi Cha kuanzia July 1 Hadi February mwaka wa Fedha 2022/2023. Ajira hizo ni kwenye sekta ya umma na sekta binafsi. Hongera sana Waziri wa Fedha na Serikali ya awamu ya 6 Kwa kupunguza mass employment...
  17. S

    Waziri Mwigulu Nchemba hapa tunapata tumaini

    Jana, Machi 13 nilipata wasaa wa kusoma hotuba ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2022/23, na Vipaumbele vya Kibajeti kwa mwaka ujao wa fedha mbele ya Wabunge Jijini Dodoma. Chini ya Uongozi bora wa Rais Samia Suluhu Hassan, nchi yetu imepiga...
  18. system hacker

    Mwigulu ni Daktari wa Uchumi, Inakuaje tatizo la ajira kwa vijana linamtoa jasho? Inakuwaje ugumu wa maisha mtaani unamtoa jasho?

    Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ni moja wa MaDr wakubwa wa uchumi tulio nao hapa nchini. Tunajivunia. Bahati nzuri kwake yupo kabisa kwenye 'core system' yaani ni policy maker mwenyewe hivyo hana cha kusingizia. Je, kwa uwezo wake wa kitaaluma kwenye masuala ya kiuchumi, imekuaje...
  19. Mmawia

    Julius Malema ndiye dawa ya watu kama akina Mwigulu

    Ni mbunge shupavu asiye hitaji hata sekunde ya kumpamba kiongozi. Huyu bwana mdogo wa "uvccm" ya kwa mzee wetu Madiba hana chembe ya uchawa kwa walio madarakani. Angekuwa ndani ya bunge letu naona hawa kina Mwigulu wasingekuwepo bungeni.
Back
Top Bottom