Msimlalamikie Mwigulu Nchemba, Mwigulu Nchemba ni Karani tu, anayetoa ridhaa ni Rais ndio maana mkipiga kelele sana, anakuja amasema kwa sababu nawapenda sana, nimeondoa tozo, halafu anataka muamini kwamba hizi tozo zimeletwa na Mwigulu Nchemba."-Alisema
@TunduALissu
Waziri wa fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba, leo akifanya mazungumzo ya kimkakati na CloudsTV amesema hakuna siku mtanzania yeyote ataombwa mchango kulipa deni la Taifa.
Mwigulu Nchemba, anatajwa kuwa msomi wa uchumi labda haelewi au ana kiburi au dharau au anapotosha umma kwa makusudi kwa...
Binafsi nimepata mshtuko mkubwa baada ya kuona ongezeko kubwa la deni la taifa kufikia trillion 91 kutoka trillion 60.9 mwezi April 2021 wakati Samia anashika madaraka. Kwa hesabu ya haraka ni kwamba kwa mwaka mmoja serikali ya Rais Samia imekopa trillion 30 kiasi ambacho kimevunja rekodi kwani...
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)
Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake
Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni...
Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.
Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.
Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango...
Watu wa kulalamikia ni walenwapiga makofi kule Mjengoni wale ndio tatizo kubwa sana nchi hii, na awu hii walivyo jazana kule sasa ndio balaa tupu.
Naona watu wanamulaumu sana Mwigulu, sijaona kosa la jamaa, bali kuna wale wapiga meza mkofi wale ndio watu wa kulaumu.
Mara nyingi wamekuwa...
Naam tozo bado zipo tena nyingi tu. Jemadari wa tozo Field Marshal, mtaalam wa uchumi mwenye PhD, karudisha tu majeshi nyuma wakati mbinu za chini chini zikifanyika kuzikarabati zisiweze kutambulika kirahisi.
Kama kweli tozo zingefutwa hivi leo Kamanda Mkuu wa Tozo, aliyetutishia wananchi kama...
Nimeona Waziri wa Fedha akisema tozo kwenye mabank wameziondoa na tozo walizoziondoa ni kama zifuatazo.
(i) Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu pande zote.
(ii) Tozo ya kuhamisha fedha ndani ya benki moja.
(iii) Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.
Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.
Source: TBC
Tangu Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuzungumzia suala Tozo la miamala naona kampeni kubwa inafanyika ndani ya CCM kutaka kumfukuza uwaziri Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kwa kile kinachoonekana kusababisha matatizo makubwa kwa wananchi.
Kwanini iwe Mwigulu Nchemba peke yake, Je ni kweli katika...
Kichwa cha mada chahusika hapo juu. Usaili wa mahojiano wa nafasi tajwa hapo uliofanyika leo tarehe 08/09/2022 umegubikwa na vitendo vya udanganyifu. Maswali yote sita ya nafasi tajwa juu hapo yamevujishwa na baadhi ya maofisa wa sekretarieti ya utumishi wa umma kwa kushirikiana na viongozi...
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania.
Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi.
Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
Uko vizuri upstair. Umetengeneza tatizo utakalolitatua 2024/2025.
Kulipa kodi ya kichwa ni tatizo ulilolitengeneza kwa manufaa ya CCM.
Tatizo hili utaliondoa bajeti ya 2024/2025 kuwa limekuwa kero kwa watz hivyo unaiondoa kodi watu wapate unafuu.
Wananchi watafurahi kuwa Serikali inawajali...
Kupanda kwa gharama za maisha nchini UK na namna takwimu sahihi.
Walizonazo zinavyowasaidia kupambana na hali hiyo kumenifunza kitu kikubwa sana.
Tanzania tunapaswa kuwa na takwimu sahihi za uchumi wetu.
Hasa takwimu za kilimo, Dunia inanyemelewa na balaa la njaa.
Mh. Mwigulu ulikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ulifanya kazi kubwa sana ya kuwatembelea na kuwasikiliza askari wa vyombo mbali mbali vilivyopo wizara ya mambo ya ndani. Moja wapo ya madai yao unayajua vizuri sana, Posho ya Maji, Umeme na Pango.
Sasa upo wizara ya fedha kwenye bajeti hii askari...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameahidi kuwa Serikali itatafuta fedha za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Chankere – Kagunga mkoani Kigoma yenye urefu wa Kilomita 45 itakayojengwa kwa kiwango cha zege.
Ahadi hiyo ameitoa Mkoani Kigoma wakati wa...
Mwigulu Nchemba, Kaka yangu, shikamoo, natumaini u mzima wa Afya wewe na familia yako. Cheo ulichonacho ulipewa na Mungu na siyo mwanadamu kama wewe uonavyo ktk macho ya Damu na nyama (physical world) ktk ulimwengu wa Roho (Spiritual world) ni Mungu ndo alikufanya uwe Waziri.
Mungu alikupa hiyo...
Anaandika Askofu Bagonza
Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia.
Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize:
1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali...
Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.