Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana...
Mh @mwigulunchemba hii hoja ya kwamba serikali imekusudia kuingiza au kuachia tsh.trilion tano kupitia kulipa wazabuni wanaoidai serikali ili ziingia katika mzunguko na kwa wananchi, hoja hii na kwa sasa kutokana na makato ya tozo hizi ni absolutely Zero-Sum Game.
Sababu fedha zitakazolipwa...
Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za...
"Watanzania waache kuwekeza sana katika Bajeti za Kunywa Pombe kila mara huku wakishindwa hata tu kukata Bima kitu ambacho nadhani kwa Mtu makini ni muhimu zaidi katika Maisha yake "
Chanzo: Cloudstv 360
Mtani wangu kutoka Mkoani Singida Dk. Mwigulu Nchemba unajua fika kuwa GENTAMYCINE...
Ndugu zangu,
Mdogo wangu Mwigulu Nchemba umetegwa na umetegeka. Kuna sera za masuala ya fedha ambazo katu mtu makini hawezi kufanya wewe unafanya ili upate umaarufu na sio kwa maslahi ya nchi. Kuna kundi limekuzingira linahitaji yafuatayo ambayo na wewe umeingia mkenge;
Umepewa mtego kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.